Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Photos: Zari And Her Kids Experiencing Village Life .

The village experience.... I love cooking it doesn't matter where iam or what the place looks like I just love cooking.East African superstar socialite Zari The Boss Lady had a chance to visit her home...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongereni Sana Amina na Khatibu harusi yenu ilifana sana

Mc Dr cheni katika picha ya pamoja na maharusi wetu  Khatibu na Amina BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM: Lowassa Alitutikisa Haijawahi Tokea...

Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, makada wa CCM walirusha kila neno baya na la kejeli kwa Edward Lowassa, lakini moyoni walikuwa wanajua kuwa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya Chadema alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA ZA KIFO CHA LETICIA NYERERE

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland nchini Marekani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu Kanisa La Anglikana Atimuliwa kwa Ufisadi wa Mamilioni ya Pesa

KANISA la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN) lililopo jijini Mwanza, limemtimua rasmi Askofu kanisa hilo, Boniface Kwangu, kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya Sh. 600 milioni.  BONYEZA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba Yafungwa na Mtibwa Sugar....Ibrahim Jeba kaipeleka Mtibwa Sugar fainali

Baada ya mapumziko ya siku moja kutokana na kukamilisha hatua ya Makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, January 10 michuano ya Kombe la Mapinduzi iliendelea katika hatua ya nusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Elimu Bure Tanzania Inaanza Leo Kwa Shule Za Serikali......Kuhusu Shule...

Watanzania leo wanaanza kufaidi elimu bure kufuatia kufunguliwa kwa shule za umma huku Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akisema fedha zimeshafika kwa kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Jumatatu ya Januari 11,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Cheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo

Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya  kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

                BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..............................  60,000/=              BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=              ADSENSE (BLOGGER...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akutana na Mbwana Samatta Dar na Kumpongeza kwa...

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametembelewa ofisini kwake na mwanasoka bora Afrika kwa wachezaji wa ndani Mbwana Samata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AMTEMBELEA SUMAYE MUHIMBILI KUMPA POLE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Frederick...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Amtembelea Na Kumfariji Mama Maria Nyerere Kufuatia Kufiwa na...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kufuatia kifo cha Mkwewe Leticia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Govt clearing Jangwani rubble, gears up for public park

Minister of State in the Vice President's Office responsible for Union Affairs and Environment, January Makamba The government has started to clear rubble in  flood-prone areas along Msimbazi creek in...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi 360 wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Wakamatwa Kwa Kufanyakazi...

Wafanyakazi zaidi ya 360 wa kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara, wamekamatwa kwa kufanya kazi nchini bila kuwa na vibali vya Uhamiaji.Kamatakamata hiyo imekuja baada ya agizo la Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Jumanne ya January 12, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Messi Ndiye Mchezaji Bora wa Dunia Aliyetangazwa Usiku wa Jana

Kura walizopata katika kinyang'anyiro cha Tuzo ya Mchezaji Bora Dunia 20151.Lionel Messi 41.33 %2.Cristiano Ronaldo 27.76 %3.Neymar Jr 7.86 %

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WADR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WADR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtuhumiwa Anayesakwa na Polisi Awatumia Polisi Selfie ya Picha yake na Kusema...

Mwanamume anayesakwa kwa makosa la kuteketeza na kuharibu mali ametuma picha ya selfie kwa maafisa wa polisi akisema picha iliyotumiwa na maafisa hao katika tangazo la kutafutwa kwake haikuwa ya...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live