CAG Aanza Kuwasaka Walionufaika na Mikopo Elimu ya Juu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa sheria inayozitaka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu. Hadi...
View ArticleMASIKINI YA MUNGU MIKE TYSON KUTOKA UMASIKINI TO UTAJIRI NA KURUDI TENA...
Net Worth: $1 MillionSource of Wealth BoxingBirth Place Brooklyn, New York, U.S.Height 5' 10" (1.78 m)Marital Status Married (Lakiha "Kiki" Spicer)Full Name Michael Gerard TysonNationality United...
View ArticleHAWA NDIO MATAJIRI 10 WA AFRICA NZIMA
1. Aliko Dangote – Net worth: $15.7 Billion (Nigerian) Aliko Dangote is the world’s richest black man. He built his fortune through three commodities: sugar, cement, flour. Also he plans to invest in...
View ArticleMJUE BINGWA WA NGUMI ZA UZITO WA JUU DUNIANI KUTOKA UTAJIRI MPAKA KUFILISIKA
During the 20-year span of his career, Mike Tyson’s income exceeded $400 million. Yet, in 2004, before his 39th birthday, this amazing moneymaker was $38 million in debt….BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI
View ArticleMAGUFULI HATARI;MOTO WAKE NCHINI WAWATISHA VIGOGO HAWA 900,WAJISALIMISHA...
SIKU moja baada ya Serikali kuzitaka kampuni 980 zinazodaiwa fedha zilizotolewa na wahisani chini ya Mpango Maalumu wa Kuagiza Bidhaa na Malighafi kutoka Nje (CIS), baadhi ya vigogo wameanza...
View ArticleMahakama Kuu Kitengo Cha Ardhi Yazuia Jumba la Mchungaji Lwakatare Kubomolewa
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare kubomolewa.Uamuzi huo wa mahakama ulitolewa juzi na Jaji John Mgeta,...
View ArticleHARUSI YA KARNE BONGO,MADJ 10 NA BENDI ZA KUMWAGA
HARUSI ya karne Bongo ndilo neno linalopendeza kutamkwa kuelezea bonge la sherehe ya ndoa inayoendelea kuwa gumzo kubwa kwenye BONNYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleBREAKING NEWZZ:Bilioni 18.77 Zimetumwa Kwenye Akaunti Za Shule Za Msingi Na...
KIASI cha shilingi bilioni 18.77 zimetumwa kwenye akaunti za shule za Msingi na Sekondari za halmashauri zote hapa nchini kwaajili ya wanafunzi kusoma bure.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMama Diamond Akubali Kushindwa...Sasa kurudi Kuishi Tandale Kumpisha Zari Madale
KUNA madai kwamba, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim ‘Sandra’ yupo katika maandalizi ya kuhamia kwenye makazi ya Tandale alikokuwa akiishi zamani ili kumpisha mwanye na mama...
View ArticleSimba Avamia Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo Wilayani Mlele Katavi na...
Mnyama Simba amevamia Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi na kuuwa watu wawili.Waliouawa ni baba na mtoto wake ambapo simba huyo kula mtoto na kuacha kichwa huku...
View ArticleJack Wolper Nae Akiri Kujipendekeza Kwa Mwanamuziki Diamond Platnumz na Zari
Jackline Wolper Katika PoziBAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa...
View ArticleNimegundua Mabinti Wanashindwa Kutofautisha Mume na Boyfriend-JB
Nakaribia 50 sasa na huku mtaani kwetu nimepewa heshima ya mzee wa mtaa… na kila j2 jioni huwa nasuluhisha kesi za wana ndoa…katika kesi nyingi nimegundua mabinti wanashindwa kutofautisha mume na...
View ArticleMbwana Samatta wins Africa Player of the Year!
This week is ending in style,first week of 2016 and Tanzania is already shining brightly! Thanks to one amazing football player Mbwana Samatta who won the African Player of the Year Award in Nigeria...
View ArticleMTANZANIA MBWANA SAMATTA ANYAKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA
Mshambuliaji Mbwana Aly Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo yaMchezaji bora anayechea soka barani Afrika na kuwamwaga Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel) na Robert...
View ArticleMagazeti Ya Leo Tanzania Ijumaa Ya Januari 8, 2015
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleProf Joyce Ndalichako Atoa Maagizo Mazito NECTA......Awapa Siku 7 Wamweleze...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku saba kwa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limpe sababu za kubadili mfumo wa utunuku viwango vya...
View ArticleAskofu Pengo: "Muhimbili Panatosha na Nimeridhika Na Huduma Za Hapa, Sioni...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam,Muadhama, Kardinali Pengo amesema kwamba ameridhishwa na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH), hivyo itakuwa...
View ArticleMsimamizi Wa BomoaBomoa Dar Aanguka Ghafla Ofisini Kwake.... Madaktari...
Operesheni kubwa ya kubomoa nyumba zaidi ya 15,000 zilizojengwa katika maeneo yasiyostahili jijini Dar es Salaam, imekumbana na changamoto ya aina yake baada ya mmoja wa wasimamizi wa kazi hiyo kutoka...
View ArticleMke Afia 'Gesti' Akiwa na Mchepuko
Mwanamke mmoja (jina linahifadhiwa) anayedaiwa ni mke wa mtu, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni katika Manispaa ya Bukoba, akiwa na mwanaume mwingine anayesemekana ni hawara yake.BONYEZA...
View ArticleHii ndio Idadi ya Kura Alizopata Samata – Na Namna Kura Zilivyopigwa
Mbwana Samatta ndio jina liliotajwa zaidi kwenye vinywa vya watanzania wengi na Afrika kiujumla ndani ya masaa kadhaa yaliyopita – baada ya mwanasoka huyo wa Kitanzania anayekipiga katika klabu ya TP...
View Article