Flooding halts train services
TMA Director General Dr Agnes Kijazi A Central Line passenger train from Dodoma and Morogoro lies literally abandoned at Dodoma railway station yesterday. The Tanzania Railway Limited (TRL) yesterday...
View ArticlePhoto Of The Day: Bleaching Gone Wrong. She Forgot To Bleach Her Feet! (photo)
Call it bleaching or skin-lightening but one fact is constant- it is an attempt to change how you look because you have low self esteem. Let see what you can do to your cold, dark heart while at it. It...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA NFRA NA UJENZI WA OFISI YA MKURUGEZI...
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma...
View ArticleWatu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani...
WATU 8 wamefariki dunia katika ajali iliyosababishwa na gari kusombwa na maji huku watu 6 wakiwa wa familia moja. Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, Davidi Misime amesema majira ya saa...
View ArticleJE WAJUA ;Wanawake Wengi Hupenda Kudanganya Mambo Haya
Najua sio raisi kukubali haya, lakini kuna aina ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake,...
View ArticleRais Magufuli Akutana Na Abdallah Bulembo ,Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam...
View ArticleBrooklyn Teen Kills Mother And Mother’s Boyfriend Then Celebrates New Years Eve
It's reported the 15-year-old lived with the corpses for several days before being arrested.A Brooklyn teen has been charged with the the gruesome murder of her mother, and her mother’s...
View ArticleWahispania Wagundua Tiba ya UKMWI
Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika.Kwa kutumia damu ya...
View ArticleMwanamuziki wa Burundi Auawa Baada ya Kupambana na Polisi na Kupigwa Risasi
Visa vya watu kuuawa vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara BujumburaMwanamziki mmoja kutoka Burundi amepatikana amefariki katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura baada ya kukamatwa na polisi, hii ni kwa...
View ArticleSerikali Yanunua Mashine Mpya Ya CT-Scan Katika Hospitali Ya Taifa Ya...
Na Magreth Kina-MaelezoSerikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa...
View ArticleBreaking News:Mwigulu Nchema Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ranchi za...
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba jana alifanya ziara ya siku moja kukagua mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya ranchi ya Taifa ya Ruvu. BONYEZA HAPA...
View ArticleMugabe Atumia Maneno Makali Kumjibu Mgombea Urais Wa Marekani Aliyedai...
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameamua kumjibu mgombea urais wa Marekani, Donald Trump ambaye hivi karibuni alidai kuwa akiingia madarakani atahakikisha anawakamata na kuwafunga yeye na rais mwenzake...
View ArticleWananchi Watumia Mabango Kufikisha Ujumbe Kwa Rais Magufuli
Wakati muda wa `mapumziko’ ya bomoabomoa ukimalizika leo huku jaribio la kupata zuio la muda likiwa limewekwa kiporo, wakazi wa Jangwani ambako nyumba zitaanza kubomolewa leo, jana waliweka mabango...
View ArticleMagufuli afuta hati ya hekta 1,870 Kapunga
Rais John Magufuli amemaliza mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Kapunga na mwekezaji wa Kapunga Rice Project Limited na sasa hekta 1,780 zitakuwa mali ya wananchi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
View ArticleTaarifa Muhimu Kwa Umma Kutoka TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa...
View ArticleBreaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni...
Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya ArdhiHabarika Blog teamZoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleFAHAMU JINSI YA KUANZA KUTIMIZA NDOTO YAKO HATA KAMA UNADHANI NI NGUMU
Na Lewis MbondeKinachofanya watu wafanikiwe ukiacha bahati ni swala la kujituma katika wayafanyayo. Haitoshi tuu kuota na kutamani kuwa wa aina fulani ya maisha, haitoshi tuu kuwa na mipango na...
View ArticleRais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumnzo Na Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam January 7,2016.Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View Article