
Mshambuliaji Mbwana Aly Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo yaMchezaji bora anayechea soka barani Afrika na kuwamwaga Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel) na Robert Kidiaba (DR Congo/ TP Mazembe) Usiku huu mjini Abuja, Nigeria.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa mshambuliajinwa Gabon, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa mjini Abuja, Nigeria usiku huu wakati hafla ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 2015