HAYA NDIO MANENO MAKALI ALIYOPEWA LULU KUTOKA KWA MAMA YAKE
Mwigizaji Lulu ameandika haya jana kwenye ukurasa wake mtandaoni, ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mama yake mzaziUmenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki wa kweli uko vipi,undugu...
View ArticleKUFURU NYINGINE KUTOKA KWA FLOYD MAYWEATHER BAADA YA KUJA NA SAA YA BILLION 2
Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai.Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleCheni Arts Creation Company Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleMisaada Ya Mbunge Lwakatare (Chadema ) Yakataliwa Hospitalini
Baadhi ya wakuu wa vituo vya afya na zahanati katika Manispaa ya Bukoba, wamegoma kupokea misaada kwa ajili ya wajawazito uliotolewa na Mbunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Wilfred Lwakatare kwa madai ya...
View ArticleMagazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu Ya Jaunuari 4, 2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleDaraja la Flyover Limeanza Kujengwa Makutano ya Tazara
Naam, ujenzi wa flyover pale TAZARA jijini Dar umeanza kama ilivyoahidiwa.Tutarajie kupata kitu imara toka kwa wajapani?
View ArticleChuo cha Garissa kufunguliwa tena
Image copyrightAFPImage captionKituo cha polisi kimejengwa ndani ya chuo kikuu cha GarissaChuo kikuu cha Garissa, mashariki mwa Kenya, kilichofungwa mwaka uliopita baada ya watu 148 kuuawa kwenye...
View ArticleMchungaji Lwakatare Apinga Nyumba yake Kubomolewa....Mwanasheria Wake Aitaka...
Mchungaji a Kanisa la Assemblies of God,Mikocheni, Dr Getrude Lwakatare amepinga nyumba yake kubomolewa ikiwa ni siku chache baada ya wizara ya maliasili na utalii kupitia wakala wa...
View ArticleBasi la Luwinzo Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia...
Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleNoti Bandia Zawaliza Wafanyabiashara Msimu wa Christmas
Misimu wa sikuu za Christmas na Mwaka Mpya ilikuwa na neema kwa wafanyabiashara wengi nchini lakini iliacha vilio vya utapeli kwa baadhi wa wafanyabiashara hususan maeneo ya pwani waliojikuta wametoa...
View ArticleMbunge wa Kinondoni Mhe. Maulid Mtulya Awasilisha Pingamizi Mahakamani kuhusu...
Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia amewasilisha mahakamani shauri la kupinga zoezi la ‘bomoabomoa’ linaloendelea jijini Dar es Salaam.Shauri hilo lenye uwakilishi wa wananchi nane linatarajiwa...
View ArticleIkulu Yamjibu Dk Makongoro Mahanga Aliyemtuhumu Rais Magufuli Kuunda Serikali...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongo Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya kupunguza...
View ArticleShule sita Nchini Kufundisha Kichina
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imeteua shule sita za sekondari nchini kuingia katika mpango maalumu wa wanafunzi wake kufundishwa somo la lugha ya Kichina kuanzia mwaka huu.Kutokana na...
View ArticleWaziri Mbarawa Atoa Siku Tatu Ukarabati Reli Ya Kati Iliyosombwa na Mafuriko
Waziri Mbarawa Atoa Siku Tatu Ukarabati Reli Ya Kati Iliyosombwa na MafurikoWaziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleBreaking News: Naibu Waziri -Tamisemi Seleman Jaffo Amsimamisha Kazi...
Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga fensi ya...
View ArticleSaed Kubenea Akana Tuhuma Dhidi Yake.....Asimulia Jinsi Alivyosoma, Akana...
==> Hili ni Tamko La Saed Kubenea(mbunge wa ubungo) kupangua Tuhuma Mbalimbali zilizoelekezwa kwake NIMESOMA andishi la anayejiita Seif Rashid, lililochapishwa kwenye mitandao kadhaa ya...
View ArticleDIAMOND PLATINUMZ NA ROMY JONES NGOMA NZITO.WATIBUANA MBAYA,MAZITO YAFICHUKA,
Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana na kaka yake, Romy Jones ‘Romy Jons’, kiasi kwamba hata mawasiliano ya simu hayapo kama...
View Article