Serikali yapiga Marufuku Matumizi ya Barua pepe za Kawaida katika Mawasiliano...
Serikali imepiga marufuku matumizi ya Barua pepe za kawaida kwa watumishi wa umma wanaotuma au kupokea taarifa za Serikali na kuwataka watumishi hao kuhakikisha kuwa wanatumia mfumo rasmi wa...
View ArticleOsama Bin Laden Is Still Alive...Former CIA Employee Revealed
Former CIA employee, Edward Snowden has said that he has evidence showing that Osama bin Laden, who was supposedly killed in Pakistan in 2011 by U.S. special forces, is still alive and well.In an...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleHuyu Ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi...
Pichani ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi ambaye leo ameapishwa rasmi kuanza kupambana na majangili ambao wamekuwa kero kwa nchi hii.Ikumbukwe kuwa kuna wakati...
View ArticleRais Dkt John Pombe Magufuli Awaapisha Makatibu Wakuu Na Manaibu Wake Elo...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence S.Milanzi akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu...
View ArticleRais Magufuli Amjulia Hali Muadhama Kadinali Polycarp Pengo Anayefanyiwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali...
View ArticleNigerian Tekno Posted This Photo With Lulu And ....This Is What Happened On...
Nigerian singer Tekno yesterday performed in Dar es salaam at a huge crowd to celebrate new year. One of Tanzanian celebrities who attended the event is actress Lulu Elizabeth Michael and they took a...
View ArticleRais Magufuli atangaza vita na mafisadi, wauza dawa za kulevya 2016
RAIS Dk. John Magufuli, amesema Watanzania wote wanapaswa kuendelea kumuombea ili aendelee na kazi yake ya kupambana na mafisadi wahujumu uchumi na vigogo wauza dawa za kulevya nchini. Kauli hiyo...
View ArticleMwigulu Nchemba Atumbua Mtu JIPU Machinjio ya Pugu.......Ni Baada ya Kufanya...
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh. Mwigulu Lameck Nchemba, amemfukuza kazi mkuu wa mnada wa mifugo wa Pugu, na watumishi walioshiriki kuiba ushuru wa serikali, alipoenda machinjioni hapo...
View ArticlePicha: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Atoa Semina Elekezi Kwa...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam. Mpekuzi blog
View ArticleMlinzi wa Lowassa Atimuliwa.....Ni ofisa usalama mwandamizi aliyepigana Vita...
Aliyekuwa mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleKipindupindu Chatua Gerezani....Wawili Wafariki Dunia
Mahabusu wawili wa Gereza la Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamefariki dunia baada ya kukumbwa na ugonjwa wa kipindupinduMkuu wa gereza hilo, Shaku Humba alisema kuwa wafungwa saba na mahabusu watano...
View ArticleRAIS MAGUFULIAANZA MWAKA 2016 MWALIMU MKUU ALIYEKAIDI AGIZO LAKE ATUMBULIWA
OFISA Elimu Mkoa wa Mwanza (REO), Hamis Maulid, amesema Serikali imemvua madaraka mwalimu mkuu mmoja kwa kukaidi agizo la kufuta michango na ada lililotolewa na Rais John Pombe Magufuli na imeahidi...
View ArticleBootylicious Socialite, Vera Sidika Flaunts Her Expensive Hotel Room in Las...
Bootylicious socialite, Vera Sidika, is on a vacation in the US and just to prove that she is the true boss lady, she took to social media and flaunted the expensive hotel where she is spending her...
View ArticleBifu la Mr Blue na Diamond Platnumz Lamuibua Afande Sele...Adai Hata...
LILE bifu la kugombania jina la Simba ambalo linawahusisha wasanii nyota wa Bongo Fleva, Henry Samir ‘Mr Blue’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’ limemuibua mkongwe Suleiman Msindi ‘Afande Sele’ ambaye alikuwa...
View ArticleIkulu Yaagiza Mtumishi Atakayefanya Kosa Aadhibiwe Hapohapo Alipo Badala Ya...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. MAKATIBU Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina...
View ArticleBasi lenye abiria 42 latumbukia mtoni
WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View Article