HUMPHREY Polepole Ateuliwa Kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Humphrey PolePole ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi kuchukua  nafasi ya  Nape NnauyeKwa...
View ArticleYOUNG D 'Kwa Mara ya Kwanza Nimejisikia Tofauti Sana Baada ya Kumbeba tu...
Rapper Young Dee amesema kupata mtoto kumempa furaha ambayo hawajawahi kuwa nayo katika maisha yake.Young amesema:Kwa mara ya kwanza nimejisikia tofauti sana baada ya kumbeba tu mwanangu. Yaani...
View ArticleMR Nice Afunguka Haya Baada ya Kuzushiwa Amefariki Dunia.....
Msanii mkongwe wa muziki, Mr Nice amesikitishwa na watu ambao wamemzushia kifo katika mtandao wa kijamii.Mtandao mmoja wa kijamii uliandika taarifa za uongo kwamba muimbaji huyo amefariki akiwa nchini...
View ArticleMAAJABU YA DUNIA:KUTANA NA MAKABURI YA KIFAHARI YANAYOZIDI NYUMBA ZA...
Maishani, watu wengi hutaka kuishi katika nyumba nzuri na za kifahari. Wengi huwa hawafanikiwi. Lakini nchini Mexico, ambapo ulanguzi wa mihadarati umekithiri, wakuu wa magenge ya ulanguzi wa dawa za...
View ArticleSerikali Yamwaga Ajira za Walimu wa Sayansi na Hisabati
  SERIKALI imetangaza kuajiri walimu wa masomo ya sayansi na hisabati katika shule za sekondari ambao wametakiwa kupeleka nakala za vyeti vyao vya elimu ya sekondari, vya taaluma ya ualimu (stashahada...
View ArticleKamanda Sirro: Aliyetishwa na kauli ya Mzee wa Upako afungue kesi
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemtaka yeyote anayeona kuwa kauli iliyotolewa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako imetishia maisha yake,...
View ArticleALIYETOBOLEWA MACHO USO KWA USO NA SCORPION MAHAKAMANI.
(Picha by Google)Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’ imeendelea katika mahakama ya wilaya ya Ilala wakati shauri hilo lilipoletwa kwa ajili ya...
View ArticleWAZIRI wa Afya wa Afrika Kusini Atoa Kali..Adai Wanaume Ambao Ucheza Dansi...
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Aaron Motsoaledi amezua mshangao mkubwa nchini humo baada ya kuwaonya wasichana akisema kuwa wanaume ambao hucheza sana kwenye sherehe na kumbi za starehe huwa na...
View ArticlePICHA:CHAMPION FRANCIS CHEKA AKIWA INDIA TAYARI KUMKABILI VIJENDER SINGH 17 DEC
Mkutano na waandishi wa habari new delhi India Champion Francis Cheka akiwa na Promota wake Jay Msangi new delhi IndiaAmeuambia mtandao huu kuwa "Tumefika salama na naendelea vzuri na mazoezi...
View ArticleFrancis Cheka:"Wewe dogo Mm sio wa mchezomchezo waulize niliowapiga...
"Wewe dogo Mm sio wa mchezomchezo waulize niliowapiga watakuambia usinichukulie poapoa medali ya olimpiki sio kitu kwangu mm ni bingwa wa dunia inter-continental champion dec 17 utajua ni kwa nini mm...
View ArticleTamko la LHRC na THRDC kuhusu kukamatwa mwanzilishi wa JamiiForums
Kutoka LHRC:Kutoka THRDC:
View ArticleKauli ya CHADEMA kufuatia kutoweka kwa kada wao Bwana Ben Sanane
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hadi sasa hakijui alipo msaidizi wa Mwenyekiti wa chama hicho, Ben Saanane.Kimevitaka vyombo vya dola, kuchukua hatua za haraka kuhakikisha msaidizi...
View ArticleMATARAJIO Makubwa ya Kupata Kazi Baada ya Masomo, Yanatuponza
Ni kweli kwamba tunapokuwa vyuoni au tunapopata nafasi za kujiunga na vyuo wengi wetu matarajio ni kumaliza na kuja kupata kazi nzuri zenye mishahara minono minono.Ila matarajio huwa sio pale...
View ArticleMBUNGE Lema Anyimwa Dhamana Tena Leo....Wafuasi Watawanywa Kwa Mabomu ya Machozi
ARUSHA: Mbunge Lema amenyimwa dhamana amerudishwa Magereza ya Kisongo, kesi kusikilizwa tena siku ya Ijumaa, tarehe 16 Desemba 2016.Inadaiwa kuwa baadhi ya wafuasi waliokusanyika mahakamani kusikiliza...
View ArticleJESHI la Polisi Lafanya Ukaguzi Ofisi za Jamii Forums na Nyumbani kwa Mmiliki...
Leo Jeshi la Polisi limefanya ukaguzi na mahojiano kwenye Ofisi za Jamii Media(Fikrapevu.com na JamiiForums.com) na walienda pia nyumbani kwa Mwanzilishi, Maxence MeloPolisi walichoondoka nacho ni...
View Article