
Jimbo la Temeke: Abdallah Mtolea wa CUF, ameshinda kwa jumla ya kura 103231 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Abas Mtemvu, aliyepata kura 97555
Mkoani Rukwa katika Jimbo la Kalambo: Kandege Sinkamba aibuka kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge kwa kupata kura 36,582 dhidi ya mpinzani wake Sichone Mateni wa CHADEMA kupata kura 31,102
Jimbo la Simanjiro, mkoa wa Manyara: James Kinyasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aibuka kuwa mshindi kwa kupata kura 41,480 na kumtupilia mbali mpinzani wake Christopher Ole Sendeka wa Chama cha Mapinduzi(CCM) aliyepata kura 27,206.
AZAM TWO
AZAM TWO