Mtoto wa Shule Alivyofumaniwa na Mwanaume wa zaidi ya Miaka 60 Tanga
August 29 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotokea Tanga ambapo mzee mmoja kafumaniwa na mkewe akiwa na mtoto wa shule wa miaka 14.Mjomba wa mtoto ameeleza kuwa...
View ArticleBREAKING NEWZZ:Lowassa, Mbowe, Mnyika Wakamatwa na Jeshi la Polisi
Viongozi wa Chadema wamekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMWANASHERIA MKUU WA SERIKALI APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA NENO UKUTA
George Masaju ambaye amezungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es salaam leo, ametolea mfano Oparesheni UKUTA iliyotangazwa kufanywa na CHADEMA na kusema kuwa ina maneno ya kijeshi...
View ArticleKing Crazy GK Aamua Kuacha Muziki wa Rap..Sasa Kuimba Kama Diamond
Rapa kutoka kundi la East Coast, King Crazy GK ameamua kuingia Studio kwa Alonem ambapo amebadili maudhui ya uimbaji wake kutoka kurap na kufanya muziki wa kuimba huku video akiifanya na muongozaji...
View ArticleProf Lipumba Aendelea Kung'ang'ania Uenyekiti Wake CUF
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Prof Lipumba ameendelea Kung’ang’ania kiti cha uenyekiti wa chama chake cha CUF na kusema kikao kilichokaa jana visiwani Zanzibar na kufanya maamuzi ya kuwasimamisha...
View ArticleSerikali Kutoa Ajira Mpya 71,496 Hivi Karibuni
Serikali inatarajia kutoa ajira mpya zipatazo71,496 kwa mwaka huu wa fedha baada ya kukamilika kwa zoezi la kuwaondoa wafanyakazi hewa ambapo hadi sasa watumishi wapatao 839, tayari wapo katika hatua...
View ArticleTamko La Mtandao Wa Watetezi Wa Haki Za Binadamu Dhidi Ya Mauaji Ya Askari Wa...
Mtandao wa Watetezi wa Waki za Binadamu (THRDC) kwa niaba ya wanachama wake tunalani vikali maujai ya askari wa jeshi la polisi huku tukisisitiza kwamba askari wa jeshi la polisi wanaofanya kazi katika...
View ArticleBREAKING NEWZZ:KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MWANZA AHAMIA CCM
Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza John Thobius Nzwalile amejiuzulu nafasi zake ndani ya chama hicho na kuhamia CCM kutokana na kukerwa na oparesheni UKUTA ambayo imelenga kuleta vurugu nchini....
View ArticleUVCCM Waahirisha Maandamano Yao,watii Agizo La Jeshi La Polisi
Agosti 22, 2016 Umoja wa Vijana wa CCM tuliutangazia umma na dunia kwamba ifikapo Agosti 31 mwaka huu tutaitisha maandamano ya amani nchi nzima yenye lengo la kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu...
View ArticleWema Sepetu: Sirudi Tena Dar
Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai mwenyewe.Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa...
View ArticleLowassa Aandika Waraka Mzito Kuhusu Oparesheni UKUTA.....Asimulia...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ameandika barua kuhusu operesheni ya chama chake iliyopewa jina la Ukuta na jinsi ambavyo jeshi la Polisi na Serikali lilivyopanga ‘kuubomoa’.Katika...
View ArticleJokate: Wanawake tusikatishwe tamaa na vitu vidogo
Business woman, Jokate Mwegelo aka Kidoti amewataka wanawake kujituma na kutokubali kukatishwa tamaa na vitu vidogo.Kidoti kwa sasa anaendelea kupanua biashara zake kwenye nchi za Afrika Mashariki...
View ArticleDiamond Platnumz Anunua Rolls Royce ya $400,000 na zaidi?
Huenda Diamond Platnumz akawa ameitimiza ndoto aliyokuwa nayo kwa miaka mingi – kumiliki gari alipendalo zaidi, Rolls Royce.Kwa muda mrefu, staa huyo amekuwa akisema kuwa hilo ndilo gari analotaka...
View ArticleBreaking News: Mbowe Atangaza Kuahirisha Maandamano ya Oparesheni UKUTA...
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo,Freeman Mbowe ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima hadi tarehe moja...
View ArticleAfande Sele Mikononi Mwa Polisi Morogoro
Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amedai anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA...
View ArticleWeka Picha za Utupu Mtandaoni Uende Miaka 20 jela – TCRA
Unataka kwenda jela? Ni rahisi, weka picha za ngono mtandaoni, na utakuwa mkazi wa huko kwa kipindi cha miaka 20.Kwa mara nyingine tena, mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA imewakumbusha watanzania...
View ArticleSERIKALI Yapiga Marufuku Mashindano ya Wanawake Wenye Makalio Makubwa
Serikali ya Burkina Faso imepiga marufu shindano ya kila mwaka kwa wanawake wene makalio makubwa kwa maelezo kuwa shindano hilo halina maadili na linaleta ubaguzi katika jamii.Tangazo la shindano hilo...
View Article