Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Jokate: Wanawake tusikatishwe tamaa na vitu vidogo

$
0
0
Business woman, Jokate Mwegelo aka Kidoti amewataka wanawake kujituma na kutokubali kukatishwa tamaa na vitu vidogo.
14033609_132619593852633_1272634053_n
Kidoti kwa sasa anaendelea kupanua biashara zake kwenye nchi za Afrika Mashariki ambako kwa kuanzia wikiendi hii alikuwa jijini Kigali akiangalia fursa za kufanya biashara nchini humo.
“Wanawake tumeumbiwa kuwa na uvumilivu sana na upendo sana,” ameandika Jokate kwenye mtandao wake wa Instagram. Mungu atupe wepesi kwenye shughuli zetu, tusikatishwe tamaa na vitu vidogo. Tuseme Amen. Amen.”
Jokate ni miongoni mwa mastaa wachache wa hapa Bongo wanaoingiza fedha kutokana na biashara zao.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles