Neno la Mwisho la Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Ntibenda Aliyetumbuliwa Juzi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeondolewa, Felix Ntibenda amekabidhi ofisi huku akitoa neno la mwisho la kuwakaribisha Kigoma baadhi ya maofisa waliokuwapo kwenye hafla hiyo. “Karibuni sana Kigoma,” ndiyo...
View ArticlePicha: Jeshi la Polisi Likifanya Mazoezi ya Utayari wa Kukabiliana na Uhalifu...
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia. BOFYA HAPA MC DR CHENI BLOG KUONA
View ArticleRais Obama Achukizwa na Tabia ya Mwanae Malia Baada ya Kunaswa Akipuliza Bangi
Obama na Mwanae MaliaHivi karibuni, Malia alionekana akivuta bangi kwenye tamasha moja maarufu.Kwa mujibu wa tovuti ya RadarOnline, vitendo vya hivi karibuni vya Malia vimemsononesha sana Obama...
View ArticleKumbe si Kenya tu,hata Ethiopia Hutumia Mlima K'njaro Kujinadi kwa Utalii
Wakuu week jana nilisafiri na ET805 kutoka KIA kupitia Mombasa then BOLE International Airport pale Adis Abbaba,nikiwa na safari yangu kwenda ughaibuni.Nikiwa BOLE nikisubiri connection ya karibu masaa...
View ArticleRAPA NAY WAMITEGO APA MAKAVU SHAMSA FORD
Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nay wa Mitego amesema hana ndoto za kurudiana na mwanamke yeyote kati ya aliwaowahi kuwa nao katika uhusiano wa mapenziNay alisema iwapo itatokea nafasi kwa yeye...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA KWENYE SHOW YA FIESTA HUKO MWANZA
Raymond Ben Paul Diana NyangeMau sama Shishi
View ArticleRC Makonda Awaambia Watu wa Mikoani: Unaruhusiwa Kuja Dar Kwa Ruhusa Maalum tu
Unaruhusiwa kuja Dar es salaam lakini lazima uwe na sifa maalum ila unaruhusiwa kuja kumsalimia ndugu yako lakini usikae sana"- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
View ArticleChadema Watangaza Safu ya Maandamano ya UKUTA.......Lowassa Amepangiwa Mbeya,...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe jana alitangaza mkakati wa chama hicho kufanikisha mikutano na maandamano ya walichokiita Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), huku jeshi la polisi nao...
View ArticleMke Achoma moto maduka 4 na nyumba yake ya kuishi Arusha Ugomvi na Mumewe...
Headline za kuungua kwa majengo katika jiji la Arusha zimeendelea tena leo August 21 2016 ambapo katika kata ya Lemara mama mmoja anayejulikana kwa jina la Victoria Edward Wenga amechoma moto maduka...
View ArticleHATIMAYE RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AMZUNGUMZIA HIVI RAIS MAGUFULI
President Barack ObamaRais anayemaliza muda wake nchini Marekani,Barack Obama amekumbushia wakati alipokutana na mwalimu Nyerere Washington DC,wakati huo akiwa mwanafunzi .Akiongea katika kipindi...
View ArticleTazama NYOMI la fiesta Mwanza kwenye Uwanja wa Ccm Kirumba
Mkali wa singeli ManFongo na Shilole wakilivamia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika tamasha hilo kubwa liliofanyika usiku wa jana jijini Mwanza na kukutanisha wasanii nguli katika muziki wa kizazi...
View ArticleLipumba Aipasua CUF.......Wajumbe Warushiana Viti na Kutukanana, Mkutano...
Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Wananchi (CUF), uliofanyika jana jijini Dar es Salaam ukilenga kuwachagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ulivunjika baada ya wajumbe kuanza kurushiana...
View ArticleMsanii Ruby na Clouds FM Hapatoshi..Aikacha Show ya Fiesta Mwanza Kisa...
Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa wasanii waliosajiliwa...Hivi Ndivyo mtandao huo...
View ArticleBaraka Da Prince Kayatoa ya Moyoni Waliosema Ameshindwa Kuongea Kiingereza
Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni msanii wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 aliingia kwenye headlines baada ya mpenzi wake Najma kuonekana kuwa kama mkalimani...
View Article