Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

‘Ndani ya kipindi changu fyatueni watoto wa kutosha’- Rais Magufuli

$
0
0


August 12 2016 Rais wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli alikutana na wakazi waDar es salaam na kuzungumza nao kuhusu maendeleo ya nchi lakini hakuacha kukumbushia lengo lake kuu la kuruhusu elimu bure kwa kila mwanafunzi wa Tanzania kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.
Rais Magufuli amesema…>>>’Ndugu zangu msiwe na hofu kuhusu kuwa na watoto, nyie fyatueni watoto wa kutosha maana watasoma bure
Unaweza kumsikiliza kwenye hii video hapa chini…



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles