
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.
Mchekeshaji huyo ambaye pia ni mjasiriamali mkubwa, ameshare picha za matukio mbalimbali akiwa shambani kwake na kuandika:
Leo shambani nikawambia vijana watulie niingie jikoni maana niliona kama wanajishtukia kupika hivi, nikawatolea kitu cha walinyama fastaaa!!!

Masanja akijiandaa kwa mapishi



