VIDEO:Jionee Wizi Mpya wa Mpesa na Tigo pesa, Jamaa Kaibiwa Sh 720,000
Utapeli umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku. Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa sasa au wa zamani. Ila siku za karibuni kumetokea aina mpya ya...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUMUAGA BONDIA MUHAMMAD ALI,
Muhammad Ali "janazah"..REST IN HEAVEN THE GOAT!!(greatest of all the time)Muhammad Ali Clay | Namaz-E-Janaza In Freedom Hall | Louisville Kentucky US |
View ArticlePICHA 40 ZA MAZISHI YA BINGWA ZAMANI WA NGUMI ZA UZITO WA JUU MMOHAMED ALI
BONYEZA HAPA KUZIONA
View ArticleAPEWA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KWA KUKUTWA ANAKULA WAKATI WA MFUNGO
Mwananchi aliyekutwa anakula kwa siri wakati wa mfungo wa Ramadhani alipopewa kipigo cha mbwa mwizi live leo mchana huko Zanzibar.Chanzo:Blog ya Wananchi
View ArticleKARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO HAPA BEI ZETU NI NAFUU SANA
LEWIS MBONDE BLOG Audience: Readers of our blog 1,489,749TANGAZO KUBWA LA JUU TOP AD BANNER 100,000/= KWA MWEZITANGAZO SIZE YA KATI LA PEMBENI SIDER BANNER 80,000/= KWA MWEZITANGAZO DOGO 50,000/= KWA...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEPIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...
View ArticleSababu 5 kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata tabu ya kupata mapenzi ya...
Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu kuwa...
View ArticleQuotes za mapenzi zenye kukufundisha mapenzi na kuacha kulia
“Love takes off masks that we fear we cannot live without and know we cannot live within.”— James Baldwin“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to...
View ArticleUkiwa tajiri haimaanishi utakuwa na furaha muda wote.Hi ndio sababu
Pengine ule msemo kuwa pesa haiwezi kununua furaha una ukweli zaidi ya hata unavyofikiri.Hii ni kwasababu kuna tafiti nyingi zinazohitimisha kuwa utajiri na furaha si vitu vinavyoendana kama...
View ArticleKitilya fails to escape money laundering charge
Kitilya, 2 former Stanbic Bank officers denied bailTHE Court of Appeal nullified the decision by High Court, which ruled in favour of former Commissioner General with Tanzania Revenue Authority (TRA),...
View ArticleHawara wa Mfanyakazi wa ndani Atiwa Mbaroni Akihusishwa na Mauaji ya Aneth...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wengine wawili, akiwamo mpenzi wa mfanyakazi wa ndani wa Aneth Msuya, aliyeuawa kwa kuchinjwa nyumbani kwake.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleAmtaka Mama yake Amtunzie Watoto Baada ya Kumuua Mkewe kwa Kumchinja na...
Watu watatu wamefanya mauaji ya kutisha, wawili wamechinja wake zao, huku mmoja akiacha ujumbe wa kumtaka mama yake mzazi amtunzuie watoto na mwingine amemuua mama yake. Katika tukio la Dodoma, Samson...
View ArticleBASI LA MWENDOKASI LAGONGA NA KUUA MLEMAVU
Mlemavu wa viungo amegongwa na basi la mwendokasi na kufa papo hapo usiku huu, eneo la Kariakoo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Lucas Mkondya amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa 2.00 usiku...
View ArticleMwanza: Kijana Awafungia ndugu zake Ndani na Kuchoma Moto Nyumba
Nyumba moja iliyopo mtaa wa Kiseke wilayani Ilemela mkoani Mwanza imeteketea kwa moto leo asubuhi na kuunguza vitu vingi huku wakazi wa nyumba hiyo wakinusurika. Taarifa zinaarifu kuwa, nyumba hiyo...
View ArticleCHADEMA Waishitaki Serikali Mahakamani
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, jana alifungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, kupinga amri ya polisi kuzuia mikutano ya vyama vya...
View Article