Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

A-Z Shoo ya Jide Mlimani City

$
0
0

JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (2)Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee na bendi yake wakikamua katika shoo yake ya Naamka Tena Concert iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar usiku wa kuamkia leo.JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (3)
Jide akizidi kukamua
JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (4)Burudani mwanzo mwishoJAY DEE NAAMKA TENA M CITY (5)Wema Sepetu na mashabiki wengine wakifuatilia shoo hiyo.JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (6)Selebuka selebuka.JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (7)JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (8)JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (9)Wema na Ali KibaJAY DEE NAAMKA TENA M CITY (10)JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (11)Jide na Rama Dee wakiimba pamoja jukwaani.JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (12)
Kutoka kushoto ni Idris Sultan, Wema Sepetu na Ali KibaJAY DEE NAAMKA TENA M CITY (13)Shabiki katika pozi
JAY DEE NAAMKA TENA M CITY (1)
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’
Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee usiku huu amefunika vilivyo katika shoo yake ya Nasimama Tena iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City.
Staa huyo akiwa na vijana wake wamepiga shoo kali ya Live iliyochukua saa tatu na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki walioshindwa kujizuia kukaa kwenye viti vyao na kunyanyuka mara kwa mara kwenda stejini kucheza nyimbo mbalimbali za malkia huyo.
Shoo hiyo imehudhuriwa na mastaa kibao wa Bongo Fleva na Bongo Movies wakiwemo Alikiba, Idrisa Sultan, Wema Sepetu, Elizabeth Michael na wengineo kibao.
Usikose kuangalia Global TV Online kuona video za matukio yote yaliyojiri.
Picha: Clarence Mulisa, Gabriel Ng’osha na Rishard Bukos / GPL

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles