Jahazi la Simba Lazama Mbele ya Timu ya Mwadui Nakuipa Yanga Ubingwa wa Ligi...
Leo jioni timu ya Simba imekubali kichapo kitakatifu toka kwa timu ya Mwadui ya Shinyanga inayofundishwa na Kocha wa Zamani wa Simba Julio..Kichapo hicho cha goli moja bila goli lililofungwa na...
View ArticleFloyd Mayweather Kurudi Tena Ulingoni, Kuzichapa na Staa wa UFC, Conor McGregor
FLOYD MAYWEATHER na staa wa UFC, Conor McGregor wapo mbioni kuingia ulingoni kuzichapa kwenye pambano kubwa na aghali zaidi la masumbwi katika historia.Gazeti la The Sun limedai kuwa Mayweather,...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View Article50 Cent atoa msaada kwa taasisi inayotetea waathiria wa ugonjwa aliokuwa nao...
50 Cent anarudisha kwa jamii. Baada ya kumdhihaki kijana mwenye miaka 19 mwenye matatizo ya akili, rapper huyo aliomba radhi na sasa ametoa msaada wa $100,000 kwa taasisi ya Autism Speaks.“I want to...
View ArticleKANYE WEST AKILA BATA NA FAMILIA YAKE HUKO CUBA
Kanye West alikuwa kwneye mitaa ya Cuba na mke wake Kim K na mtoto wao wa kwanza North West huko Harvana, Cuba.Kim K alikuwa Cuba kwaajili ya kuhudhuria onyesho la mitindo la Chanel Cruise collection....
View ArticleLupita Nyong'o Reveals The Inspiration Behind Her Hairstyle To The Met Gala...
Lupita Nyong’o hairstyle choice to the Met Gala was one of the most talked about CLICK HERE TO READ MORE
View ArticleSUMATRA yatangaza nauli kwa mabasi yaendayo kasi
Baada ya Kampuni ya UDA-RT kuwasilisha maombi ya nauli zitakazotumika kwa mabasi yaendayo haraka kwa Mamlaka ya udhibiti usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA), leo hii (May 09 2016) SUMATRA...
View ArticleKocha Julio Adai Timu ya Simba Ina Laana Kubwa Sana
Kocha mkuu wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameiambia timu ya Simba kwamba inalaana ndiyo sababu ya kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya ligi kuu Tanzania bara kwa muda mrefu.Julio anadai...
View ArticleRais Magufuli Awagomea Wabunge Nyongeza Ya Mikopo Ya Magari
Katika kile kinachoonekana amedhamiria kuendelea kubana matumizi ya serikali, Rais John Magufuli amekataa ombi la kuongeza fedha za ununuzi wa magari kwa wabunge pamoja na fedha za mfuko wa bunge.Baada...
View ArticleGadner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla, amemtaka mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G Habash kumuomba radhi aliyekuwa mke wake, Lady Jaydee kwa ‘kile...
View ArticleRais Magufuli Asema yeye Siyo Katili, Anawatumikia Watanzania ili Kurejesha...
Rais John Magufuli amewataka Watanzania wasimuone katili kwa kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji wa Serikali, kwakuwa anataka kuirejesha nchi kwenye mstari.Akizungumza katika misa ya Jumapili kwenye...
View ArticleWEMA Sepetu "Sipendi Watu Wanavyonitukana Mgumba Instagram..Saa Zingine...
Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa hapendi watu wanavyomwita mgumba ama kuendelea kumuongelea kuhusu uwezo wake wa kupata mimba huko Instagram kwani saa zingine anashindwa kuvumilia, ameongeza na...
View Article"HAPPY BIRTHDAY EDWARD NYONI" BABA MDOGO LEWIS MBONDE
Mungu azidi kukupa maisha marefu na mafanikio
View ArticleYaliyomo ktk Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne Ya May 10,2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticlePanama Papers: Majina ya Watanzania Waliohifadhi Fedha Nje ya Nchi yatajwa
Kwa wale waliokuwa wansubiri kupekuwa kwenye database ya Panama papers kuona kama kuna vijogoo wa Afrika hususani Tanzania wameficha fedha wanaweza kupekuwa sasa. Kila kitu kimewekwa online.Baadhi ya...
View ArticleMapenzi ya Barakah Da Prince na Naj yazidi Kunoga (Picha)
Unakumbuka kipindi Kanye West na Kim Kardashian wameanzisha uhusiano wao? Watu waliwapaLeo hii ni wanandoa, wana watoto wawili na penzi lao bado lipo imara. Ndivyo ilivyoonekana kwa Barakah Da Prince...
View Article