$ 0 0 Kanye West alikuwa kwneye mitaa ya Cuba na mke wake Kim K na mtoto wao wa kwanza North West huko Harvana, Cuba.Kim K alikuwa Cuba kwaajili ya kuhudhuria onyesho la mitindo la Chanel Cruise collection.