Breaking Newzz:Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRA waagizwa kuifuta...
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kumfungia Snura kujihusisha na masuala ya sanaa.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleTaasisi ya Misaada ya Kijamii ya Dr. Hamisi Kigwangalla Yajitolea Kumsomesha...
Kwa kutambua umuhimu wa elimu kwa kizazi cha miaka ijayo, Taasisi ya Misaada ya Kijamii ya Hamisi Kigwangalla iliyoanzishwa na Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt....
View ArticleMaelfu Wajitokeza Kumuaga na Kumzika Marehemu Papa Wemba
Mwanamuziki Papa Wemba aliyefariki wiki iliyopita nchini Ivory Coast amefanyiwa ibada ya mazishi katika kanisa la kanisa kuu la Notre Dame Kinshasa ili kuweza kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele...
View ArticleMambo Matatu Tuliyojifunza Kutokana na Wimbo wa Snura ‘Chura’ Kufungiwa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kuufungia wimbo wa Snura ‘Chura’ pamoja na video yake.Wimbo huo sasa hautakiwi kuchezwa tena kwenye redio na TV (sina uhakika kama video...
View ArticleMAMBO Yanayoshusha Thamani ya Mwanaume Mbele ya Mwanamke
Katika uhusiano baina ya mume na mke hutokea mambo mbalimbali yanayoimarisha uhusiano baina yao au kuuharibu. Baadhi ya nyakati mwanaume hufanya baadhi ya mambo yanayomshusha thamani mbele ya mwanamke....
View ArticleALICHOKISEMA Shilole baada ya wimbo wa SNURA ‘Chura’ kufungiwa
Ni Mei 4, 2016 ambapo kupitia wizara ya Habari na Utamaduni, Michezo walitoa taarifa za kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kuanzia leo na kuitoa nyimbo hiyo kwenye mitandao yote ya kijamii mpaka...
View ArticleVYOMBO VYA HABARI ASILIA (wa makaratasini) HOI BIN TAABAN WAKATI VYA digitali...
Vyombo vya habari vya asilia, hususan magazeti, vinakufa. Hivi sasa vvyombo hivyo vinajikongoja kutokana na mauzo hafifu na mdororo wa mapato kutoka matangazo na kupunguza wafanyakazi. Ila wakati...
View ArticleWabunge Wagomea Utaratibu wa Kujisajili Mara Mbili....Wadai wao ni Watu...
Wabunge wameitaka Ofisi ya Bunge iwaondolee mara moja utaratibu wa kusaini kwa kutumia vidole mara mbili kwa siku kwa kuwa wao si wanafunzi.Hoja hiyo iliwasilishwa kwa njia ya mwongozo na kuungwa mkono...
View ArticleMajibu ya Snura baada ya Chura wake Kupigwa Nyundo na Serikali
Baada ya wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kuufungia wimbo wa Snura, Chura jana, muimbaji huyo anaonesha kutoshtushwa na hatua hiyo hasa kutokana na support anaiyopata kutoka kwa mashabiki...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleWabunge Warushiana Makonde Afrika Kusini
Wabunge nchini Afrika Kusini wamepigana bungeni baada ya spika kuamuru maafisa wa usalama kuwaondoa kwa lazima wabunge wa upinzani ambao walimbeza rais Jacob Zuma alipoingia bungeni tayari kulihutubia...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleP Diddy Aongoza Orodha ya Forbes ya Wana Hip Hop Watano Wenye Mkwanja zaidi
Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five.Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na Dr...
View ArticleSnura Akiri kufanya Makosa Awaomba Radhi Watanzania Kwa Video ya Chura
Msanii Wa Bongo Fleva Snura Mushi (Snura) amewaomba radhi watanzania kwaujumla pamoja na vyombo vya serikali vinavyosimamia sekta ya sanaa kwa kutokufuata sheria, kanuni na taratibu zilizopo katika...
View ArticleCCM Yakanusha Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete 'Kugoma' Kukabidhi Uenyekiti kwa...
Baadhi ya vyombo vya habari vimekuwa vinatoa taarifa potofu kuhusu mchakato wa Mwenyekiti wa sasa wa CCM Dkt. Jakaya Kikwete kukabidhi kijiti cha uongozi wa CCM kwa Rais John Pombe Magufuli kama...
View ArticleMmiliki wa Timu ya TP Mazembe Atangaza Kuwania Urais Jamhuri ya Demokrasia Congo
Mwanasiasa mashuhuri nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi amethibitisha kuwaBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMwanamke Apatikana Hai Kwenye Vifusi Nairobi Siku Sita Baada ya Ghorofa Kuanguka
Jengo hilo liliporomoka baada ya mvua kubwa kunyesha IjumaaMwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.Juhudi za uokoaji bado...
View Article