Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

ALICHOKISEMA Shilole baada ya wimbo wa SNURA ‘Chura’ kufungiwa

$
0
0


Ni Mei 4, 2016 ambapo kupitia wizara ya Habari na Utamaduni, Michezo walitoa taarifa za kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kuanzia leo na kuitoa nyimbo hiyo kwenye mitandao yote ya kijamii mpaka hapo Snura atakapoifanyia marekebisho video ya wimbo huo. 
Sasa taarifa hizo zimemfikia Soudy Brown wa U Heard wa kipindi cha XXL ambapo kwenye Uheard amesikika Snura alichowahi kuzungumza kabla ya ngoma yake kufungiwa…..
>>>siruhusu video yangu kuchezwa kwenye TV yoyote, ile video ni ya youtube kwa hiyo mtu anaposema maadili, sijui watoto, huyo mtoto anayeacha kwenda library kujisomea na kutafuta chura youtube huyo ni mtu mzima’:
Soudy Brown amezungumza na Shilole na kumuuliza kama amesikia wimbo wa ‘Chura’ kufungiwa, Shilole ameyazungumza haya………>>>nimezisoma habari hizo japo sijazijua kwa undani, mimi nampa pole tu lakini ndio tujifunze kupitia vitu kama hivi
Bonyeza play kuisikiliza story yote iko hapa



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Latest Images

Trending Articles