Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyejifanya Ofisa usalama wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atupwa jela Miaka 12

Mahakama ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, imemhukumu kwenda jela miaka 12, Qasama Machibya aliyejifanya ofisa usalama wa Taifa kwenye ziara ya Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete mwaka 2013.Kabla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makonda Asema hataki kuwaona wasanii nyumbani kwake.......Ni Baada ya Kumtosa...

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema hataki kuwaona nyumbani kwake wasanii ambao wamekacha kuhudhuria kampeni yake ya usafi ambayo imezinduliwa Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Abiria Wanusurika Kufa Katika Ajali ya Ndege Mjini Bukoba Leo

Watu kadhaa wamenusurika  kufa baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Auric Air waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Bukoba ilipokuwa ikitua na rubani kupoteza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Tanzania Jumapili Ya Tarehe 1 Mei 2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 4 na wengine 29 Wajeruhiwa Baada ya Basi la HBS Walilokuwa Wakisafiria...

Watu wanne wamekufa papo  hapo na wengine 29 kujeruhiwa baada ya basi la HBS linalodaiwa kuwa ni mali ya kampuni ya Sabena walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Mbeya kwenda Tabora kuacha njia na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezaji wa Azam Farid Musa Aliyoko Spain Kwa Majaribio Awakosha wa...

Kinda wa Azam FC Farid Musa anaendelea kufanya vizuri kwenye majaribio nchini Hispania akiwa na Club Deportivo Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza ‘Segunda Division’.Yusuf Bahkhesa ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Wema Sepetu Aonyesha Alivyoumbika Adai Mtoto wake Amechukua...

Mama Wema Sepetu Ameongea na Kusema kuwa anawashangaa wale wote wanaosema mtoto wake ameongeza makalio kwa dawa wakati wanaona kabisa kuwa amerisi makalio hayo kutoka kwa mama yake...Mama huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mume Wangu Anatoka Kimapenzi na Mama yangu, Nimeona Meseji za Mapenzi Kwenye...

Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki 1998 nikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maproducer wa MJ Records Wamtetea Sugu Kupitia Kipindi Cha Friday...

Utata uliokuwa umeghubika umiliki wa ngoma mpya ya Mr Two a.k.a Sugu inayokwenda kwa jina la Freedom umemalizwa katika show ya FNL baada ya producer wa ngoma hiyo Daxo Chali kuthibitisha rasmi kuwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Mei Mosi: Rais Magufuli Asema Wafanyakazi HEWA Wamefikia 10,295

Idadi wa watumishi hewa nchini  imeendelea kuongezeka ambapo takwimu za jana zinaonyesha kuwepo kwa watumishi hewa 10,295Akizungumza  leo wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi,  Rais  wa Jamhuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Mei Mosi : Rais Magufuli Ashusha Kodi ya Mapato Ya Mshahara (PAYE)...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli  ametangaza kushusha kodi ya mapato ya Mshahara ( Pay as you Earn -PAYE  )  BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ…RAIS MAGUFULI AMPANDISHA CHEO TRAFIKI ALIYEMKAMATA MKE WA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Kamishna wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernesti Mangu kumpandisha cheo askari wa Usalama barabarani ambaye alitukanwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yaiagiza Mamlaka Ya Bandari Na TRA Kubaini Chanzo Cha Kupungua Kwa...

SERIKALI imeziagiza Mamlaka ya Bandari-TPA, na Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, kufanya uchambuzi wa kina ili kubaini sababu za kupungua kwa shehena ya kontena zinazoingia nchini kupitia Bandari ya Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WAFANYAKAZI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIYE MFALME MSWATI WA SWAZILAND, MFALME ANAYEONGOZA KWA KUWA NA WAKE...

Mfalme Mswati wa III akiwa na mke wake wa 3 Sibonelo Mngomezulu anayejulikana kama Inkhosikati LaMbikizaMfalme Mswati wa III akiwa na mke wake wa 3 Sibonelo Mngomezulu anayejulikana kama Inkhosikati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUE SABABU YA VIJANA WENGI KUPOTEZA MUDA NA BANDO HUKO INSTAGRAM

 Instagram Crush: This is why I spend my time on Instagram....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGNESS MASOGANGE ATUPIA PICHA MPYA HUKO INSTA

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live