Usiku wa veronica ulikua wa kipekee chini ya mc dr cheni
Bi harusi mtarajiwa Veronika Waziri mkuu mstaafu mh John Malecela Mc dr cheni na bi harusi mtarajiwa veronika Mc dr cheni,veronika na Getrude Lwakatare Mh Getrude Lwakatare Mama mkubwa wa veronica...
View ArticleHizi ni Dalili za Mwanamke Anayekupenda Kwa Dhati Toka Moyoni, ila Hawezi...
Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza...
View ArticleTID Afunguka 'Nilikuwa Natoka na Wema Sepetu Alafu Akaniambia Hanitaki..Sasa...
Akiwa Katika Kipindi cha Clouds 360 leo Mwanamuziki TID Amefunguka Kuhusu Kutoka na Wema Sepetu..."Nilikuwa "namdate" Wema Sepetu akaniambia Sikutaakiiii....tangu kipindi hicho nimekuwa na Wasichana...
View ArticleMrembo Jack Wolper Afunguka Sababu za Kuacha Kuvaa Nguo za Kiume
Akiongea kwenye kipindi cha Nirvana, kinachoruka kupitia EATV, Wolper alisema ‘nilikuwa navaa vile kutokana na wakati ule, sasa hivi nimeshakuwa na mchumba’.“Nilikuwa navaa vile kutokana na wakati ule...
View ArticleBosi wa Zamani wa TRA na Wenzake Wawili Warudishwa Tena Rumande Hadi Tarehe 3...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imesita kutoa uamuzi wa kesi inayowakabili Harry Kitillya, Shose Sinare na Sioi Solomoni kwa madai, jalada lake limeitishwa Mahakama Kuu....
View ArticleTrump Achekwa Baada Ya Kushindwa Kulitamka Jina la Nchi yetu Tanzania
<a href='http://mpekuzihosting.com/ads/www/delivery/ck.php?n=a5fa0220&cb=INSERT_RANDOM_NUMBER_HERE' target='_blank'><img alt='' border='0'...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleTCRA Yatoa Onyo Kwa Wafanyabiashara Wanaobadili IMEI za Simu FEKI ili...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kiama kwa wafanyabiashara wa vifaa vya mawasiliano, kuacha kuwahadaa wananchi kwa kutoa punguzo ili kuwashawishi kununua simu bandia na kutishia...
View ArticleSerikali Yaupokea Ushauri wa Zitto Kabwe....Yaahidi Kuufanyia Kazi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea ushauri uliotolewa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT- Wazalendo) wa kuishitaki Benki ya Standard (ICBC) ya Uingereza, kuhusu ufisadi...
View ArticleWafanyabiashara Walioficha Sukari Waanza Kukamatwa
Kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa baadhi ya wafanyabiashara wameficha sukari ili kutengeneza uhaba sokoni utakaopandisha bei ya bidhaa hiyo, imedhihirika baada ya baadhi ya wafanyabiashara...
View ArticleFaiza Ally Awajibu Mashabiki Wanaomtag Kuhusu Sugu Kumnunulia Gari Mpenzi...
Instagram siku hizi kimekuwa ni kiota cha umbea wa mjini, Alhamisi hii akaunti moja maarufu ya umbea imeweka picha ya mwanadada anayedaiwa kuwa ni mpenzi mpya wa mbunge wa Mbeya, Mh Joseph Mbilinyi...
View ArticleBABA WA SUPER STAR DIAMOND PLATINUMZ APATA KIBARUA,ABANWA AFUNGUKA MAZITO...
Inashangaza! Wakati wengi wanaamini mzazi hakosei, kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hali ni ya tofauti kwani licha ya kuaminika ana ukwasi wa kutosha, analalamikiwa kutomsaidia baba...
View ArticleMWANAMUZIKI USHER RAYMOND ATUPIA PICHA ZA UTATA MTANDAONI
Picha za uchi zimeonekana kuwa ni moja ya njia za kupata kick kwa wasanii wa nje. Mwanzoni ilionekana picha hizo zinapigwa na mastaa wa kike zaidi kama, Kim, Amber Rose na wengine lakini Usher Raymond...
View ArticleMSANII NIVA SUPER MARIOO AFUNGUKA JUU YA NAY WA MITEGO KUACHWA NA SHAMSA FORD
Niva Super MarioMsanii wa filamu nchini Niva Super Mariyoo, ambaye alionja joto ya jiwe kwa muda fulani baada ya kutajwa kwenye wimbo wa Nay wa Mitego 'Shika adabu yako' na kusema "Huyo msanii huyo...
View ArticlePAPA WEMBA AMELISHWA SUMU ????
BADO kifo cha Mwanamuziki wa Dansi na Rhumba, Shungu Wembadio ‘Papa Wemba’ kinazidi kuzua maswali mengi huku watu mbalimbali wakijenga hoja kuwa huenda mwanamuziki huyo mwenye heshima Afrika aliwekewa...
View ArticleKampeni ya usafi ‘UsijifanyeMstaarabuKuwaMstaarabu’ yaanza kwa kasi
Kampeni ya usafi ‘UsijifanyeMstaarabuKuwaMstaarabu’ iliyoanzishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda imeanza kwa mafanikio asubuhi hii baada ya wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa muziki...
View ArticleHongera Mr and Mrs kimossa harusi yenu ilinogaaa sanaaa
nami mc dr cheni mshereheshaji wa harusi yao ilinoga sana Mr and Mrs kimossa Mr and Mrs kimossaTwanga nao walikuwepoFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255...
View Article