Kampeni ya usafi ‘UsijifanyeMstaarabuKuwaMstaarabu’ iliyoanzishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda imeanza kwa mafanikio asubuhi hii baada ya wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa muziki kujitokeza kwa wingi.

Diamond, Ruge Mutahaba pamoja na mwanamitindo Millen Magese
Bongo5, imekukusanyia picha za matukio mbalimbali ya usafi kutoka katika sehemu mbalimbli za
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI