Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAC Yaunda Kamati ya Wabunge 9 na Kuipa Siku 30 Kuhakiki Ripoti ya...

Kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali (PAC) imeunda kamati ndogo ya watu tisa itakayochunguza kwa kina mkataba uliozua utata wa Sh37bilioni ulioingiwa baina ya Jeshi la Polisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUSHANGAZA AFRIKA,MAZITO YAELEZWA JINSI ALIVYOANZA

Nassibu Abdul a k a Diamond Platnumz Na NYEMO CHILONGANIMiaka kumi tu nyuma, ulipokuwa ukimzungumzia mwanamuziki mwenye jina kubwa kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ hakukuwa na mtu aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO VERA SIDIKA AIBUKA NA STAILI MPYA ,AWASHANGAZA WENGI

Top Kenyan socialite Vera Sidika has added more modifications to her body and this time its more tattoos.She already has distinct tattoos on one of her arms and one of her thighs which look really...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA MREMBO ZILIZOWAPAGAWISHA WATU HUKO FACEBOOK

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Binti wa Miaka 16 Kutoka Mwanza Ahutubia Umoja wa Mataifa

 ;Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini na kutoonekana kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vyeti Feki Vitampa Magufuli Maadui Wengi kuliko Hata "Ufisadi"

Kama kweli Rais Magufuli atahamia katika ukaguzi wa vyeti feki akimaliza ishu ya watumishi hewa ni wazi atapata maadui wengi na idadi yao itakuwa kubwa kuliko anaowapata katika vita yake dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Paul Okoye wa kundi la P-Square Anaswa South Africa Akiwa Amevaa Kofia ya WCB...

Ukimuona Paul Okoye wa kundi la P-Square akiwa amevaa kofia ya WCB na yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu mwanzoni mwa wiki hii kuzindua video ya Colors of Africa, ujue...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu ya April 25,2016

BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gigy Money Aopoa Kigogo wa Madini..Mwenyewe Adai Wameshibana

Kazi ipo! Video Queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuopoa kigogo ambaye ni mfanyabiashara wa madini, mkazi wa jijini Arusha ambaye ndiye mwandani wake anayempa jeuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAG Kuanika Mafisadi Bungeni Leo Wakati Akiwasilisha Ripoti Yake

Mdhibiti  na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) leo anawasilisha bungeni ripoti ya mwisho ya ukaguzi wa hesabu za serikali ya mwaka 2014/15.Ingawa haijajulikana rasmi nini kilichomo ndani yake,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tatizo la Kunuka Kikwapa..Tiba yake Hii Hapa..

Kikwapa  ni  tatizo la kutoa harufu mbaya  sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu  chini ya kwapa.Tatizo la Kikwapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu Michael Avalishwa Pete ya Uchumba..ila Mwenyewe Kaandika Haya...

Lulu leo amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikionyesha akiwa na pete ya uchumba...Kwenye hiyo picha ameandika maneno haya:Asante MUNGU Wangu Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fahamu Maana ya Ngoma NdiNdiNdi ya Lady JayDee

Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina la NdiNdiNdi.Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madaha: Nikikosa Faragha Siku 3 tu Naugua

STAA wa muziki Bongo fleva na Bongo Movies, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kiasi kwamba akipitisha siku tatu huwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Dkt. Lu alifika Ikulu jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mirror Chini ya Management ya Wema Sepetu Umewaangusha Mashabiki Wako,...

Marehemu Albert Mangwair alikuwa mtu wa mwanzo kutambua kipaji cha muziki alichokuwa nacho Mirror pamoja na Jordan.Kwa mara ya kwanza watu walimtambua kwenye nyimbo yake ‘One and Only.’ Kiukweli huu ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Raymond Asimulia Jinsi Alivyomshawishi Diamond Hadi Kumchukua WCB

Raymond amesimulia jinsi ambavyo alimshawishi Diamond hadi kuamua kumchukua kwenye label yake, WCB.Ameiambia Bongo5 kuwa alipigiwa simu na mshkaji wake, Maromboso aende studio kuungana naye katika...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live