Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Elimu (Duce) Auawa Kwa Kuchomwa Kisu na Mpenzi Wake

Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Elimu (Duce), jijini Dar es Salaam, Bertha Mwarabu (23), ameuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kuchomwa kisu kwenye titi na tumboni kwa kinachodaiwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa 26

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara.Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA MATIBABU YA WAGONJWA WA SICKLE CELL (SELIMUNDU), MUHIMBILI,...

Bi.Yasmin Razak, akiwa amembeba mtoto anayeugua maradhi ya Selimundu (Sickle cell), wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Mama huyu ambaye mwanaye pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILICHOJILI LEO BUNGENI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBE PAPAA WEMBA ALIKUWA ANATAKA KUFARIKI AKIWA JUKWAANI

Promota wa tamasha la Papa Wemba, Salif Traore, maarufu kama A'Salfo, amesema Papa Wemba alimuambia kuwa angependa kufa akiwa jukwaani, katika maongezi yao waliyoyafanya kwa njia ya simu wiki mbili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ANAVYO PENDWA NNCHINI KENYA...MASHABIKI WA VILABU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE ATAJA MAJIPU MANNE KATIKA SANAA NCHINI,AAHIDI KUYATUMBUA

Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na michezo nchini,Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchini na kuyaita kwamba ni majipu huku akisisistiza kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilichomfanya Siwema wa Nay wa Mitego Afungwe Miaka Miwili Gerezani ni...

Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili  jijini  Mwanza.  Pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumanne ya April 26,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Deni la Taifa Lazidi Kupaa....Lafikia Shilingi Trilion 33. 5

Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh7.05 trilioni, kutoka Sh26.49 trilioni Juni 30, 2014, hadi Sh33.54 trilioni sawa na ongezeko la asilimia 27.   Kwa mujibu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti ya CAG Yaanika 'Madudu' Kibao Serikalini

Wakati Rais John Magufuli akipambana dhidi ya ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi na uovu mwingine dhidi ya mali za umma, ripoti mpya ya ukaguzi iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BLOGGER MITAA FULANI MORO TOWN WITH SHABAN KIBWANA

BLOGGER LEWIS MBONDE SELFIE WITH SHABAN KIBWANABLOGGER WA GLOBU HII LEWIS MBONDE KULIA NA SHABANI KIBWANA MITAA FLANI MORO TOWN TUNAWATAKIENI JIONI NJEMA AHSANTENI KWA KUENDELEA KUTEMBELEA BLOG YANGU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mr Blue amtuhumu Mh Sugu Kumuibia Wimbo wa Freedom

Msanii wa Bongefleva ambaye jina lake lilianza kushine kwenye game ya muziki wa Bongofleva toka akiwa na umri mdogo Mr. Blue, amerudi kwenye headlines baada ya kupost kupitia account yake ya instagram...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJ Records wajibu tuhuma za Mr Blue kuhusu Wimbo Freedom wa Sugu

Mr Blue analalamika kuwa Sugu ameupora wimbo wake ‘Freedom’ aliokuwa amemshirikisha kwa kutoa verse zake na kuufanyia video iliyotoka jana.Lakini katika kila malalamiko, ni vyema kusikiliza pande zote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA TCRA NA KUMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Ally Yahaya Simba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Rais Mstaafu wa Kenya Mama Lucy Kibaki Afariki Dunia

Mke wa Rais mstaafu  wa    Kenya, mama Lucy Kibaki amefariki dunia . Lucy alifariki katika hospitali ya Bupa Cromwell mjini London alikokuwa amelazwa.Alisafrishwa hadi mjini Landon wiki moja iliopita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mstaafu Benjamini Mkapa Akutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamini Mkapa akiwa na Mwenyeji wake Uhuru Kenyatta katika State House ya Kenya baada ya kukutana na kufanya mazungumzo

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nuh Mziwanda Afunguka jinsi Alikiba Alivyomliza

Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza.Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO TANZANIA APRILI 27,2016

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya April 27

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sina Mpango wa Kurudiana na Siwema, Namsaidia tu – Nay wa Mitego

Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kuzungumzia nini kinaendelea baada ya kutangaza kumsaidia aliyekuwa mpenzi wake Siwema ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumtukana shabiki kwenye...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live