Usiku wa Rona mirado hall Ulinoga sanaaaaa
Bi harusi mtarajiwa RonaRona akimpa zawadi mme wake mtarajiwa Rona akipokea fedha kutoka kwa dada yakeMc Dr Cheni akiwajibikaFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM:...
View ArticleMGOMO WA DALADALA WAINGIA SIKU YA PILI MANISPAA YA MOROGORO
Moja ya magari ya kubeba mizigo likiwa limebeba abiria kutoka Kihonda kuelekea katikati ya mji wa Manispaa ya Morogoro kufuatia madereva na wamiliki wao kufanya mgomo wa kusafirisha abiria kutumia...
View ArticleUKAWA Yazidi Kuitesa CCM Dar es Salaam...Huyu Ndio Naibu Meya Mpya wa Jiji la...
Diwani wa Kata ya Kiwalani, Mussa Kafana (Cuf), ameibuka mshindi katika uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, kwa kumbwaga mpinzani wake kwa kura nne.Uchaguzi huo ulifanyika jana katika...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleJinsi ya Kupunguza Uzito wa Mwili/Unene Kwa Kutumia Saladi
Ulaji saladi ya spinachi, matunda ya apple na parachichi unaweza kumsaidia mtu kuwa na uzito unaotakiwa kiafya.Kabla mtu hajaanza kula mlo wake wa asubuhi, mchana au usiku anashauriwa aanze na mboga za...
View ArticleAina Kumi za Wanawake Ambao Wanaume Wengi Wanavutiwa Kuwa Nao Kimapenzi
1. The childish womanThere are some men that like childish women. They may appreciate the fact that this type of women is cheerful, playful and represents sunshine in their dull or stressful life....
View ArticleAHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YANG LEWIS MBONDE BLOG
"AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YANG LEWIS MBONDE BLOG NAWAPENDENI SANA NAOMBA MUENDELEE KUNIUNGA MKONO.SIKU NJEMA"BY CEO LEWIS MBONDE
View ArticleRais Magufuli Awageukia Watumishi HEWA Ndani ya CCM
Rais John Magufuli juzi aliwazungumzia makada walioihama CCM wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopita, alipoeleza kuwa kuondoka kwao pengine kulimsaidia kupata ushindi. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSiwema wa Nay wa Mitego Ahukumiwa Jela Miaka Miwili
Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015 imemkumba mwanadada ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa staa wa Bongo fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema anayeishi Mwanza baada ya kuhukumiwa kwenda...
View ArticleBosi wa Bandari Aliyetumbuliwa Jipu Akutwa na Kesi ya Kujibu Kwa Matumizi...
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe, pamoja na aliyekuwa Naibu wake, Hamad Koshuma, wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka wamepatikana na kesi ya...
View ArticleUVCCM Yataka Majipu Ndani ya Chama Yaanze Kujitumbua ......Ni wale...
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Shaka Hamduni Shaka amewataka wanachama wanaojitambua kuwa ni majipu kwa kukisaliti chama kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka jana, waanze kujitumbua...
View ArticleOfisi ya Waziri Mkuu Kutumia Bajaji na Bodaboda
Ofisi ya Waziri Mkuu itatumia usafiri wa bajaji na bodaboda kuendesha shughuli zake kuanzia mwaka ujao wa fedha wa 2016/2017 ikiwa ni mkakati wa kubana matumizi wa Serikali ya Awamu ya Tano. Mpango huo...
View ArticlePicha 17 za snura akifungua zipu kabla ya uzinduzi wa video ya chura jumapili
Kutana na msanii wako pendwa jumapili hii maisha basement kwenye usiku wa chura, hapo itazinduliwa video mpya ya chura kutoka kwa snura mushi mamaa chura,
View ArticleKilimanjaro: Watumishi HEWA Wakopa Mamilioni ya Pesa Benki
Msako ulioanzishwa na Rais John Magufuli wa kutokomeza tatizo la wafanyakazi hewa katika utumishi wa umma, umeendelea kuibua mazito, ambapo mkoani Kilimanjaro, Benki ya CRDB imejikuta ikitoa mkopo kwa...
View ArticleBREAKING NEWZZ:MWANAMUZIKI MKONGWE PAPAA WEMBA AFARIKI DUNIA
Papa Wemba akiwa jukwaani kwa mara ya mwisho jijini Abidjan, Ivory Coast, usiku wa kuamkia leoMwanamuziki nguli wa Congo Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kama Papa Wemba amefariki dunia huko...
View Article