CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleLugumi Aakaangwa Bungeni.....PAC Yaunda Kamati Ndogo Yenye Nguvu Zaidi,...
Makamu Mwenyekiti wa PAC, Aeshi HilalyKamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) haijaridhishwa na majibu yaliyotolewa na maofisa wa juu wa Jeshi la Polisi kuhusu Mkataba wa Lugumi...
View ArticleChris Brown Akiri Alitaka Kujiua Kwa Sababu ya Penzi la Rihanna
Chris Brown amesema alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Grammy mwaka 2009.Katika kipande kifupi cha makala yake ya ‘Karibu katika maisha yangu’,mwanamuziki...
View ArticleWanawake Kumbukeni na 'IKULU' Zenu Kinyume Chake Mtaachwa Kila Siku...
Kujiremba jirembeni na uzuri kuweni nao. Mashauzi tuleteeni na kutusumbua ongezeni. Saluni msikose na wa natural wasiishe. Vaeni vizuri na mtembee na muongee kwa maringo.Lakini msizisahau ikulu zenu....
View ArticleTetesi ya Siri Nzito Kati ya Diamond na Mrembo Aliyecheza Kwenye Video ya...
Kupitia Mtandao wa Instagram Siri Nzito nzito zinaendelea kuwekwa wazi kuwa kuna siri nzito kuwa Mwanamuziki Diamond Platnumz anatoka na mrembo Officiallyyn ambaye ameonekana kwenye video ya Msanii...
View ArticleRais Magufuli Azidi Kumng’ang’ania Kilango Baada ya Idadi ya Watumishi Hewa...
Rais John Magufuli ameendelea kumng’ang’ania aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango baada ya kusema idadi ya watumishi hewa katika mkoa huo imeongezeka kutoka 45 hadi 226. BONYEZA HAPA...
View ArticleMagufuli Calls Kenyans ‘Thieves and Liars’ While Opening Kigamboni Bridge...
From Nairobiwire.comTanzanian President John Magufuli yesterday officially opened Kigamboni Bridge, East Africa’s first cable-stayed bridge or as normal people call it – suspension bridge.It was a...
View ArticleHaya Ndio Madhara Sita ya Kutoa Mimba Kwa Mwanamke.....
Kutoa mimba ni nini? Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake.Kutokana kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa...
View ArticleDereva Afa Maji Akijaribu Kuvuka Mto Kwa Kutumia Gari, Morogoro
Dereva tax aliyejulikana kwa majina ya Shakiru Hashimu mkazi wa Mdaula Ngerengere mkoani Morogoro amekufa maji baada ya kusombwa akiwa ndani ya gari wakati akijaribu kuvuka mto Ngerengere.Dereva huyo...
View ArticleWastara Afunguka, Asema kuvunjika kwa ndoa yake na mbunge Sadifa kumempa Amani
Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka na kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma ambayo imeduku kwa kakribani miezi 3.Akizungumza na Bongo5 hivi...
View ArticleMREMA Atoa Mpya..Aamua Kumfuata Magufuli Dar es Salaam ili Ampe Kazi..Adai...
Mwenyekiti wa taifa wa Chama cha TLP na aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo, Agustino Mrema anatarajia kusafiri kuja jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpongeza Rais Magufuli na kumkumbusha...
View ArticleHuu hapa Muonekano Mpya wa CHID BENZ Baada ya Kukaa Sober House Kwa Mwezi...
Toka msanii Chid Benzi akubali msaada wa kumsaidia kuachana na madawa ya kulevya na kupelekwa Sober House Bagamoyo afya yake kwa sasa inaendelea vizuri sana na mwili wake umeanza kunawiri tofauti na...
View ArticleMSANII KR MULLER AFUNGUKA ASEMA JUMA NATURE ASINIFUATILIE MAISHA YANGU.
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anajitambulisha kama Rais wa Rader Enteternment rapper KR Muller amemuambia msanii mwenzake mkongwe Juma Nature amuache kwanza afanye mambo yake.KR...
View ArticleWatu Wanne Watiwa Mbaroni Sengerema Kwa Kunywa Pombe Mchana
Wilaya ya Sengerema imeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais baada ya kukamata watu wanane waliokutwa wakinywa pombe saa za kazi.Amri ya kukamatwa na kuwekwa mahabusu kwa watu hao ilitolewa juzi na...
View ArticleSiwezi Kumuomba Msamaha Chidi Benz Kwa Kauli Yangu ‘Acha Afe’ – Dudu Baya
Msanii mkongwe wa muziki, Dudu Baya, amesema hawezi muomba msamaha Chidi Benz kutokana na kauli yake ‘acha afe’ ambayo aliitoa baada ya rapa huyo kuzidiwa na matumizi ya Madawa ya kulevya na kuomba...
View ArticleMARAFIKI ZAKE ZARI WAMSHAMBULIA DADA HUYU WAKIDAI ANATEMBEA NA DIAMOND
Kuna ubuyu mpya mjini… Na tena unaonesha umepata wateja wengi kwa muda mfupi. Mashabiki wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB, Raymond...
View ArticleHAYA NDIO MAMBO AMBAYO HUKUAMBIWA NA WAZUNGU WALIOMUUA KANALI GHADAFI SOMA...
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na...
View ArticleRais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Mafisadi Wanaolalamika Kutumbuliwa Hadharani
Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View Article