Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Awataka Mawaziri Wajiandae Kwa Machungu......Asema Wasioweza...

Viongozi  serikalini wakiwemo mawaziri na makatibu wakuu, wameombwa na Rais John Magufuli, kuvumilia machungu wakati wa uongozi wake, kama ambavyo wananchi walivyovumilia tangu Uhuru.Amesema hayo jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tunda Man Apata Ajali Mbaya ya Gari Akiwa na Wenzake Watano..Taarifa za Kifo...

Kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakua umekutana na taarifa inayomhusisha Tunda Man kupata ajali  akiwa Mkoani iringa Asubuhi ya April 17 millardayo.com imempata Tunda Man mwenyewe na amekubali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DARAJA la Kigamboni Laanza Kutumika Kwa Mbwembwe...Wengine Wafanya Kama...

Baada ya Serikali kuruhusu matumizi ya daraja jipya la Kigamboni kwa watembea kwa miguu na magari kwa majaribio, hatua hiyo imepeleka neema kwa wakazi wa mji huo, huku ikipunguza idadi ya vyombo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jealous Wife Sets Husband's Property On Fire For Attending Girlfriend's Funeral

A jealous wife in a marital battle with her husband has set the man's house on fire after learning that he attended his girlfriend's funeral.The woman from Cowdray Park suburb in Bulawayo of Zimbabwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakenya Wameanza Tena...Waitangaza Daraja Jipya la Kigamboni Kuwa lao

Safari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....Soma hii Hapa Chini:

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nimechanganyikiwa Nimegundua Mke wangu na Dada wa Kazi Wanasagana,naomba...

Yamenikuta Mie mwenzenu hata sijui nifanye nini ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama House Girl Wanasagana, Bado sijamwambia mke wangu kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Hapa Madhara na Magonjwa Mbalimbali yanayosababishwa na Uvutaji Sigara

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kutegea sikio kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia madhara ya kuvuta sigara, tabia ambayo imezoeleka na watu wengi ingawa ina madhara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi Hapa ni Sababu Zitakazokufanya Wewe Binti Usiolewe Mapema

Hizi Hapa ni Sababu Zitakazokufanya Wewe Binti Usiolewe Mapema★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!★2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba afariki dunia

Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.Mungu ailaze roho ya marehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AZINDUA MBIO ZA MWENGE HAPA MOROGORO LEO

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro leo.Katika uzinduzi huo, Makamu wa Rais alimnukuu Baba wa Taifa, Mwl Julius Nyerere...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba ya Mkutano wa Bunge la Bajeti 2016/17 Linaloanza Kesho Tarehe 19 Hadi...

Mkutano wa Tatu (3) wa Bunge la Kumi na Moja (11) unatarajia kuanza mjini Dodoma kesho tarehe 19 Aprili 2016. Mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali.Wabunge wote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 18,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hivi ni Kweli Kuwa Wenye Herufi "M" Kwenye Kiganja Wana Bahati Sana?

Wengi Tumekuwa tukisikia kuwa watu wenye herufi M kiganjani mkononi ni watu wa bahati...Hapa nimekuwekea ukweli....HERUFI ''M'' INA ASHIRIA WEWE MTU WA BAHATI KUBWA UNAWEZA KUWA NA PESA NYINGI AU KUWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali ni Mbaya Rais John Magufuli Awalaza Njaa Wapiga Dili Mjini na Madalali...

Hali ni mbaya! Vita ya ufisadi aliyoitangaza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ inadaiwa kuwalaza njaa wapiga dili mjini na madalali waliokuwa wamejazana kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli Atahadharishwa kwa Kauli yake ya Bora Kula Mihogo Kuliko Mkate wa...

Baadhi ya wasomi na wanasiasa wamemtahadharisha Rais John Magufuli kuhusu kauli yake ya kupinga misaada yenye mashariti magumu aliyoifananisha na mkate wa masimango.Akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF Yalaani Kitendo cha Mashabiki wa Simba Kuwarushia Mawe Viongozi na...

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu kufanya vurugu mara baada ya mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Toto Africans uliochezwa Uwanja wa Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama ni Kweli, Ulichofanya Tundaman Kudanganya Kuwa Ulikuwepo Kwenye Ajali...

Gari hiyo ilihusisha gari ndogo aina ya Toyota Aurion iliyokuwa ikiendeshwa na Musa ‘Man Katuzo’ Katunzi aliyefariki kwenye ajali hiyo.Taarifa za awali zilidai kuwa Tundaman alikuwa mmoja wa abiria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatano ya April 20,2016

 ;

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU Yalikana Tamko la Wakili wake Kwamba Mahakama ya Kisutu Imejaa...

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusiana na matamshi yaliyotolewa na Leonard Swai, Wakili wa TAKUKURU aliyenukuliwa kwenye vyombo vya Habari tarehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live