TANZIA: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Christina Lissu Afariki Dunia Jijini Dar
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum toka Singida, Christina Mughwai Lissu(CHADEMA) amefariki dunia kwa ugonjwa wa kansa.Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa cancer tangu mwaka jana.Tundu Lissu...
View ArticleBREAKING NEWS: MABULA AMGALAGAZA WENJE KESI YA UBUNGE JIJINI MWAZA LEO
Mbunge wa jimbo la Nyamagama,jijini Mwanza pichani akifurahia mara baada ya kutangazwa mshindi wa jimbo hilo na Mahakama kuu ya jijini Mwanza dhidi ya aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia...
View ArticleMKUBWA FELLA ASEMA KWENYE MUZIKI UCHAWI UPO
Meneja wa Kundi la Yamoto Band Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amesema anakubali kwenye tasnia ya muziki hapa nchini uchawi pia upo.Fella ameyasema hayo katika kipindi cha eNews kinachorushwa na EATV siku ya...
View ArticleKatibu TFF Akana Tuhuma za Upangaji Matokeo Ligi Daraja la Kwanza Baada ya...
Siku chache tangu kamati ya nidhamu ya TFF iwaadhibu baadhi ya viongozi wa vilabu vya ligi daraja la kwanza na kuvishusha vilabu hivyo kutokana na kupatikana na hatia ya kupanga matokeo ya michezo ya...
View ArticleRais Magufuli Amteua Bwana G. Byakanwa Kuwa Mkuu Wa Wilaya Ya Hai .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro.Taarifa iliyotolewa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam...
View ArticleTaarifa Kutoka JWTZ Kuhusu Wanajensi wa Tanzania Kutuhumiwa Kuhusika na...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeshitushwa na kusikitishwa kwa taarifa zinazo lituhumu JWTZ kuhusu unyanyasaji wa kijinsia unaodaiwa kufanywa na Wanajeshi wetu kwa Wananchi wa Jamhuri ya...
View ArticleNWANKWO KANU ATEMBELEA WAGONJWA WA MOYO TAASISI YA JAKAYA KIKWETE HOSPITALI...
Na Dotto MwaibaleAliyekuwa mchezaji nguli wa timu ya taifa ya Nigeria au Super Eagles, Nwankwo Kanu ambaye pia kwa sasa ni balozi wa makampuni ya StarTimes barani Afrika jana jioni alitembelea Taasisi...
View ArticleTAZAMA MUONEKANO MPYA WA ELIZABETH LULU
  Debe Tupu ndo hupiga Kelele....😊😊😊
View ArticleBREAKING NEWZZZ:MWANAMUZIKI NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA
Globu ya jamii imepokea taarifa za Mwanamuziki mkongwe aliyewahi kujizolea sifa kem kem katika miondoko ya dansi hapa nchini wakati akiwa na bendi ya FM miaka ya nyuma kabla ya kujiengua na kuunda...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni        TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis MbondeÂ
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDEÂ BLOG INADHAMINWA NAÂ DR MNINDOÂ NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEÂ PIGAÂ +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleMrema wa TLP Amuomba Rais Magufuli Atimize Ahadi yake ya Kumpa KAZI Kama...
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) taifa, Augustine Mrema amemuunga mkono Rais John Mgufuli kwa kasi yake ya kupambana na ufisadi na kumuomba ampe kazi ili amsaidie kutekeleza jukumu...
View ArticleALIYEMPIGA CHENGA MAGUFULI, ANASWA TRA
Askari wakisimamia zoezi la kuvunja mlangoMkurugenzi wa Elimu kwa walipa kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Richard Kayombo akionesha ndoo zinazotarajiwa kuwekwa mafuta.Sukari na viroba vya kuweka...
View ArticleMsanii Mwigine wa Bongo Anayeteketea Kwa Madawa ya Kulevya Huyu Hapa....
Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa...
View ArticleKijana Ukitaka Kuoa Tafuta Mwanamke Mwenye Nyota..Mengine ni Mbwembwe tu..
Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!! Ndio nyotaLeo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilshakua...
View ArticleMambo Matatu ya Muhimu Unayoweza Kufanya ili Kumdatisha Mpenzi Wako Bila...
Na Martha MagawaNikikuuliza unapenda kipi kutoka kwa mpenzi wako najua wengi watatoa majibu tofauti tofauti wapo watakao sema, mcheshi, anamvuto napenda anavyotabasamu na vitu vingine kama hivyo,...
View ArticleMsafara wa Rais Magufuli Kutozidi watu 10.....Balozi Mahega Asema Anategemea...
Rais John Magufuli anataraji kusafiri tena kwenda nje ya nchi hivi karibuni akiwa na msafara ambao unawezekana usizidi jumla ya watu 10.Ilimchukua Rais Magufuli siku 153 tangu kuapishwa kwake kufanya...
View Article