Hotuba ya Maalim Seif Kwa Waandishi wa Habari Aliyoitoa Leo Jumapili Tarehe...
HOTUBA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI – PARK HYATT ZANZIBAR, TAREHE 10 APRILI, 2016Ndugu zangu Waandishi wa Habari,Ndugu Waalikwa,Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu...
View ArticleRais Dkt. Magufuli Amfukuza Kazi Mkuu Wa Mkoa Wa Shinyanga, Mama Anne Kilango...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga mama Anna kilango Malecelakuanzia leo.Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa...
View ArticleKITUMBUA Kimeingia Mchanga...Ikulu Yafuta Safari ya Wakuu wa Wilaya 10 Kwenda...
Katibu Mkuu Kiongozi John KijaziIkulu imefuta safari ya wakuu wa wilaya 10 na wakurugenzi idadi kama hiyo waliotakiwa kwenda China kwa mafunzo ya uchumi wa kimaeneo kuanzia jana, na kuna uwezekano...
View ArticleManny Pacquiao Astaafu Ndondi Baada ya Kumdunda Timothy Bradley
Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao amethibitisha kustaafu masumbwi baada ya kumdunda Timothy Bradley kwenye pambano lao la Jumamosi hii.Pacquiao alishinda kwa pointi licha ya kumwangusha Bladley mara...
View ArticleWaliozalisha Watumishi HEWA Kikaangoni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka makatibu tawala wa mikoa nchini kuchukua hatua kali dhidi ya wote waliosababisha kuwapo kwa watumishi hewa. Amesema suala hilo la watumishi hewa limeisababishia...
View ArticleHARUSI YA RICHARD MWAIKAMBO NA ADELLAH DANDU ILIKUA YA KIPEKEE CHINI YA MC DR...
MAHARUSI WETU WAKIINGIA UKUMBINIMC DR CHENI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSIMAHARUSI WAKIWA KATIKA NYUSO ZA FURAHA MC DR CHENI AKIENDESHA SHUGHULI NZIMA KUHAKIKISHA KILA KITU KINAENDA SAWAFor...
View ArticleRais Magufuli Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Mbunge Wa Viti Maaluum Wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Aprili, 2016 ameungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki kuuaga mwili wa Mbunge Mstaafu wa Mkoa wa Singida Marehemu Christina...
View ArticleMadudu Kibao Yabainika Katika Uhakiki wa Madeni ya Watumishi Wanayoidai...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Kassim Majaliwa amesema Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) , amefanya uhakiki wa madeni yanayodaiwa serikali na watumishi...
View ArticleUndani Kifo cha Mwanamuziki Ndanda Kosovo Huu Hapa...
Habari zilizolifikia Wikienda mara tu baada ya kutokea kwa msiba huo asubuhi ya Jumamosi iliyopita zilieleza kuwa, Ndanda alisumbuliwa na tumbo ambapo alilazwa kwenye Hospitali ya Mwananyama na baadaye...
View ArticleObama: Tulikosea Sana Kuivamia Libya na Kumuondoa Muammar Gaddafi
Rais wa Marekani Barack Obama amekiri kwa mara ya kwanza kwamba serikali yake ilifeli katika kutatua mzozo wa Libya.Amesema hilo huenda ndilo “kosa kubwa” zaidi alilolitenda wakati wa utawala wake.Bw...
View ArticleSheikh Afungwa Jela Miaka 30 kwa Kubaka Mwanafunzi wa Shule ya Msingi
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Sheikh wa Msikiti wa Goma, Hassan Bamba (48), kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kukutwa na hatia ya kubaka.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleGardner G. Habash kaonyesha gari lake jipya siku sita baada ya mkataba mpya
Mtangazaji Gardner G.Habash amerejeaCloudsFM toka alipoacha kuifanyia kazi December 2010, sasa amerudi na kupewa mkataba mpya kuifanya show ileile ya JAHAZI kuanzia saa kumi mpaka moja jioni CloudsFM...
View ArticleLady Jay Dee Akutana na Ray C Baada ya Miaka Sita...Afunguka Mazito
Mwanamuziki Mkongwe Lady Jay Dee Amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuonana na Mwanamuziki Ray C ambae yuko katika harakati za kuachana na matumizi ya madawa ya...
View ArticleKwanini Wanawake Wengi Warembo Wanaishia Kuwa Michepuko?
Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi sana ambao wanahesabu kuwa ni baraka na jambo la kumshukuru Mungu kwa kuwaumba wenye sura nzuri na wenye mvuto. Pamoja na ukweli huu, ni wazi na imethibitika kwamba...
View ArticleRais Magufuli " Watumishi Hewa Wamejaa Mpaka Ikulu"
Rais Magufuli asema watumishi hewa wamejaa mpaka Ikulu, Ofisi ya Waziri mkuu, Majeshini etc.Amuagiza Katibu mkuu kiongozi kuunda "task force" yenye ulinzi maalumu ku-deal na watumishi hewa.10% ya...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View Article