Kinachoendelea Afrika ya Kusini na Kiwe Funzo Kwa Nchi za Bara la...
Kinachoendelea Africa ya Kusini na kiwe funzo kwa nchi za Bara la Africa,Huenda karata ya upinzani ya Nchi hiyo isifanikiwe kwasasa,ila Ilifanikiwa hapo awali baada ya kumpeleka Rais Mahakamani na...
View ArticleDIAMOND Platnumz Atoboa "PUA" na Haya ndio Maneno Aliyosema
Supa Staa wa Bongo Fleva DIAMOND PLATNUMZ ametupia Picha Kwenye Akaunt yake ya Instagram akiwa ametobua Pua na kuweka kipini..Hata hivyo Hali sio nzuri juu ya Mashabiki wake wengine wakimponda na...
View ArticleMwisho Mwampamba Kortini..Alala Mahabusu Siku Mbili Kisa Matusi ya Nguoni...
MOROGORO: Ikiwa takriban siku 40 tangu baba yao, Dk. Ephraim Njawala Mwampamba, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) afariki dunia, mwanaye Mwisho Ephraim Mwampamba ameburuzwa mahakamani...
View ArticleMagazeti ya Leo Alhamisi ya April 7,2016 Ikiwemo Wabunge Wajipanga Kumtishia...
SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 7
View ArticleOFFER!!! OFFER:KWA WATEJA WOTE WANAOFANYA KAZI NA MC DR CHENI MIEZI HII...
drchenitzPlz soma hapa kwa faida ya wotee....... Offer !!! offer !!!! offer!!!!! Kwa wale wote waliofanikiwa kufanyiwa kazi zao za umc Iwe send off au harusi miezi hii basi watapata bahat ya kuwapa...
View ArticlePadri Amtolea Tamko Mrembo Jokate...Ni Kuhusu Kuwakera Waumini Kwa Kupiga...
Baadhi ya watu waliodai kuwa wao ni waumini wa Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam ambako anaabudu Mbongo Fleva na Miss Tanzania No. 2, 2006, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wamesema...
View ArticleHiki Ndicho Alichokiandika Lulu Michael Miaka 4 ya Kifo cha Kanumba
TAREHE NA MWEZI KAMA HUU NDIPO ULITUACHA KIPENZI CHETU, MFALME WA BONGO MOVIE TANZANIA.INATIA SANA SIMANZI KUENDELEZA TASNIA BILA WEWE, MTU WA KWANZA KUUMIA NI MIMI NA MASHABIKI WAKO...MOLA AKUPUMZISHE...
View ArticleSiku Mbili Tu Anadai ana Mimba yangu..Soma Kisa Kizima Hapa...
Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari,...
View ArticleRais Magufuli ashiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 22 ya mauaji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishuhudia wenyeji wao Rais Paul Kagame na Mama Janeth Kagame pamoja na binti yao wakiweka shada...
View ArticleTaarifa Za Uzushi Kuhusu Walimu Kushonewa Sare Inayosambazwa Katika Mitandao...
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDITAARIFA KWA UMMAYAH: TAARIFA ZA UZUSHI KUHUSU WALIMU KUSHONEWA SARE INAYOSAMBAZWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMIIWizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi...
View ArticleMasanja Mkandamizaji na Wenzako..Vengu Yupo Wapi na Anaendeleaje Kiafya?
Leo Nimesoma Makala moja katika Gazeti fulani wakimuongelea Msanii Vengu Ambae alikuwa Original Comedy kabla ya kuanza kuugua Mwaka 2009 kiasi cha kupelekwa India kupata matibabu, Gazeti hilo...
View ArticleRais Magufuli Kaeleza Kwanini Hapendi Sana Kusafiri Nje ya Nchi
Tunajua Rais Magufuli amekuwepo nchini Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 mpaka April 7 jioni aliporudi Tanzania, kwenye moja ya maongezi yake mbele ya Wananchi wa Rwanda ameongea pia...
View ArticleStaa wa Bongo Movies Cloud Amkacha Mkewe Bongo Akimbilia Sweeden na Kufunga...
NYOTA wa sinema za Bongo, Issa Mussa ‘Cloud’ amefunga ndoa tena, lakini safari hii ni kwa siri huko nchini Sweden na mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Mina ambaye amekuwa akimposti kila kukicha...
View ArticleSiri ya Rais Magufuli Kuchagua Kutembelea Nchi ya Rwanda na Kusafiri Kwa...
Tusihangaike Na Kwanini Magufuli Kachagua Rwanda Kama Nchi Ya Kwanza Kuzuru...Tujiulize, Magufuli aliyekwenda kwa Kagame kwa barabara akirudi atakuwaje?Ndugu zangu,Wahenga walisema, tembea ujionee, ina...
View ArticleBinti Mwenye Ulemavu Afungiwa Ndani Kwa Miaka Kumi na Sita Arumeru
Vitendo vya kuwafungia ndani watoto wenye ulemavu limeendelea kushamiri kwenye maeneo mengi nchini tukio la sasa likitokea katika kijiji cha njani wilayani Arumeru ambapo mtoto wa kike mweye ulemavu wa...
View ArticlePolisi Anayemiliki nyumba 40 Ang’olewa....Suzan Kaganda arithi mikoba yake
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu, amemwondoa kwenye nafasi yake, Mnunuzi wa Vifaa na Boharia Mkuu wa jeshi hilo, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP),...
View ArticleSHAMSA FORD Ashtukia Kuwa Sio Deal Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Mastaa...
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford hivi karibuni alifunguka kupitia mtandao wa Instagram kuwa mahusiano na mastaa wa Bongo hayadumu kwa miezi mitatu na amemuomba Mungu amuepushe mbali nayo.Akiweka...
View ArticleLowassa Auponda Uongozi wa Rais Magufuli.......Asema Uongozi wake ni wa...
Edward LowassaSiku 155 baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais, aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi huo, Edward Lowassa ametaja mambo matano yanayomfanya autilie shaka...
View ArticleMuda Mwingine Wanaume Kuchapiwa Wake zetu Tunatakaga Wenyewe
Hili suala nimelifikiria kwa kipindi kirefu sana., naona mifano mingi kupitia kwa marafiki zangu na hata ndugu zangu na watu wangu wa karibu. Unakuta mwanaume upo kwenye mahusiano ya kawaida na...
View Article