Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Shein Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa awamu ya 7 wa Zanzibar

Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameapa kuwa Rais kwa mujibu wa katiba katika BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Maghembe amsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi Wanyamapori

Waziri wa Maliasili na Utalii Pro. Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi wa Wanyamapori, Charles Mulokozi baada ya kutoa vibali vya kusafirisha Tumbili kwenda Albania.Sakata hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAREMBO KIDOA NA GIGGY MONEY 'BEEF' KALI KWASABABU HII

PAMECHIMBIKA! Habari ikufi kie kwamba bifu jipya mjini kwa sasa ni kati ya wauza nyago (video queens) wawili kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford Giggy Money’ na Asha Salumu ‘Kidoa’...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH PAUL MAKONDA AANDIKA UJUMBE MZITO BAADA YA KUMTEMBELEA KADINALI PENGO

 Vitabu vinasema; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. Namshukuru Mhadhama Polycarp Cardinal Pengo kwa maombi yako kwa maana mamlaka yangu ya kutumikia watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Ijumaa ya March 25,2016

   BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi Afa kwa Kupigwa na radi Porini Alikokuwa Amejificha

Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Swaila, kata ya Mkwamba wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Maria Pangani (14) amekufa papo hapo baada ya kupigwa radi.Mwanafunzi huyo aliyekuwa akisoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atoa Zawadi Ya Pasaka Ya Milion 9 Kwa Watoto Yatima na Wazee...

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametoa zawadi mbalimbali zenye  thamani ya shilingi milioni tisa laki tatu na elfu sabini kwa vituo 24 vya kulelea watoto yatima na wazee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babu Tale Atoboa Siri Nyingine...'Wasanii Wengi Bongo Wanatumia Unga Kwa Siri'

Meneja wa wasanii wa muziki kutoka Tip Top connection Hamisi Tale Tale maarufu kwa Babu Tale, amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanatumia madawa ya kulevya, na hii ni kutokana na kuiga mambo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babu Tale Atoboa Siri...Diamond Alishawahi Kumtoa Damu Chid Benzi na...

Meneja wa wanamuziki wa bongo fleva Babu Tale ameweka wazi kitu ambacho watu wengi walikuwa hawakijui kuhusu Diamond na Chid Benz.Akiongea kwenye kipindi cha eNews kinachorushwa na East Africa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basi la Princess Muro Laacha Njia na Kuingia Kwenye Kituo cha Mabasi ya...

Basi la kampuni ya Princess Muro lapata ajali baada ya kupoteza mwelekeo na kuingia kituo cha Magari ya Mwendo kasi Kimara jijini Dar es Salaam.Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashabiki Wakerwa na Kauli Hii ya Zari, Wadai Amewakejeli Maskini

Labda ukweli unauma.. Kwamba wengi tunatamani sana maisha mazuri anayoishi Diamond na mchumba wake, Zari the Bosslady. Wapo wanaoishia kutamani na kumuomba Mungu nao waje kuwa na maisha hayo, wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Tanzania Jumamosi ya March 26,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maoni: Hofu yangu Kuhusu Label ya Wasafi, Diamond, Harmonize na Raymond ni...

Makala imeandikwa na Wynjones Kinye (Mhadhiri chuo kikuu cha SAUT)Naappreciate sana juhudi za Diamond katika kuunyanyua muziki wa Tanzania kwa kuibua vipaji vipya kama Harmonize, Raymond na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pamoja na Operesheni 13, hii ni sababu inayomfanya Millen Magese asikate tamaa

Kufanyiwa upasuaji mara 13 si kitu cha mzaha. Na tena kwa tatizo lenye maumivu makali kama la Endometriosis. Kipi kinachompa nguvu ya kuendelea kuinuka na kupaza sauti kuhusu tatizo hilo?“Ninaamini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ivan Aijibu Vekesheni ya Diamond na Zari Ulaya kwa Kuipeleka Familia yake...

Inaitwa clash of the titans na siri ya mchezo hapa ni fedha ndiyo inayoongea na sio maneno matupu! Diamond na Zari wapo Ulaya kwenye vekesheni inayoendana na ziara ya From Tandale to The World, na sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif Sharif Hamadi Arejea Zanzibar Baada ya Kukaa Mapumzikoni Serena...

Siku chache baada ya Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein kuapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa marudio uliosusiwa na baadhi ya vyama vya upinzani, Katibu mkuu wa chama cha wananchi (CUF), Maalim...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askari Aporwa Bunduki Aina ya SMG na Majambazi waliokua na silaha za jadi

Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha mbalimbali za jadi, wamempora bunduki aina ya SMG askari polisi PC Shadrack.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Mnyambuga alisema tukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanajeshi 8 wa JWTZ Watiwa Mbaroni Wakituhumiwa Kumuua Raia Waliyedai...

Askari nane wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kigona wakituhumiwa kwa mauaji ya Erick Nilamewa (16) waliyemtuhumu kuwaibia simu moja aina ya Techno na Sh....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la Tumbili 61 Waliokamatwa Uwanja wa Ndege Lachukua sura Mpya

Serikali imeunda kikosi kazi kinachohusisha taasisi nyeti nchini kuchunguza sakata la kukamatwa kwa raia wawili wa Uholanzi wakiwa katika harakati za kusafirisha tumbili 61 kwenda nchini Albania....

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live