$ 0 0 Vitabu vinasema; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. Namshukuru Mhadhama Polycarp Cardinal Pengo kwa maombi yako kwa maana mamlaka yangu ya kutumikia watu inatoka kwake Mungu alie ziumba Mbingu na Nchi