Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU ATOA SADAKA YA SHURANI KANISANI KWAKE BAADA YA KUSHINDA TUZO

Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Young Dee:Babu tale amekosea kufanya hivi kwa Chid Benz, kayaandika haya

Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz zinazidi kuchukua nafasi katika mitandao mbalimbali, sasa March 21, 2016 meneja wa Diamond Platnumz amepost video...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt. Magufuli Atuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Ghafla Cha...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi, kufuatia kifo cha ghafla cha Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe Atangaza Kujiuzulu Ujumbe Kamati ya Huduma Za Jamii Baada ya...

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA Washinda Umeya wa jiji la Dar es Salaam....Wamepata Kura 84, CCM Kura 67

Hatimaye uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam umekamilika leo katika ukumbi wa Karimjee, na kushuhudia Isaya Mwita wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitangazwa kuwa mshindi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF Yatangaza Kutoyatambua Matokeo ya Uchaguzi wa Marudio Zanzibar....Pia...

Kufuatia ubakaji wa demokrasia kupitia kile kilichoitwa uchaguzi wa marudio uliofanywa juzi tarehe 20 Machi, 2016, jana Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salim Jecha, alikamilisha kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chidi Benz Apelekwa Bagamoyo Sober House Kwa ajili Kusaidiwa Kuacha Matumizi...

Meneja wa Diamond, Babutale akishirikiana na Kalapina wamemchukua Chidi Benz na kumpeleka Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili kumsaidiwa kuacha matumizi ya madawa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Binti wa Miaka 17 Ajifungulia Mtoto Chooni Hospitali ya Amana Dar

Msichana wa umri wa miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia mtoto chooni baada ya muuguzi mmoja wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kumtaka aende kuoga na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumatano ya March 23,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Profesa Jay Afunguka Kuhusu Chid Benz Kutumia Madawa ya Kulevya

Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’ (pichani) amesema hali ya Mbongo Fleva, Rashid Abdallah Makwiro (31) ‘Chid Benz’ ni matokeo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALI KIBA Asikia Kilio cha Mashabiki Wake..Abadili Uongozi Wake na Kusema Haya

Kupitia Magic Fm jana Alikiba alisema kuwa amebadili uongozi wake na baadhi ya watu hawatokuwepo kabisa.Ukitaka kujua nimebadili ngoja uone kwa sasa mambo yatakavyokuwa fans wangu wanataka bampa to...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya March 24,2016 Ikiwemo ya Wabunge Mikononi Mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babutale 'Nilipomuona Chid Benzi Mwanzo Kwa Jinsi Alivyo Sasa Nilidhani...

Meneja wa msanii Diamond Platnum na kundi la Tip top Connection, Hamisi Taletale alimaarufu kama Babutale amefunguka na kusema kuwa alipomuona Chid Benzi mwanzo alidhani msanii huyo ameathirika na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanawake, Hivi Mnajua Mwanaume Anayekutaka Kimapenzi au Anayekutamani?

Hii sasa ni kwa wanawake. Hivi mnajua mwanaume anayekutaka kimapenzi au anayekutamani jinsi anavyouangalia mwili wako anawasilisha hisia zake juu yako.Je unawezaje kujua ujumbe anaokupa?Mwanamke kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mrembo Tunda na Mwanamuziki Young Dee Wadaiwa Kumwagana..Kisa Dogo Janja..

Penzi kati ya Hitmaker wa SIO MCHOYO YoungDaresalama na mpenz wake #Tunda lazidi kuwa matatan baada ya YOUND DEE KUZIFUTA PICHA ZOTE ZA KIPUSA huyo kwenye insta yakeMatatizo yalianza, baada ya TUNDA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uhakiki Wa Watumishi HEWA Hautachelewesha Mishahara Ya Watumishi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuziki Harmonize Amefunguka Kuhusu Maisha Duni ya Familia yake...

Harmonize: Nafanya mpango kuitoa familia yangu kijijini kuileta Dar Harmonize anang’ara kwa sasa lakini safari yake hadi kufika hapo alipo leo imekuwa ngumu na yenye misukosuko mingi. Ni msanii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maumivu Wakati wa Kufanya Mapenzi Kwa Mwanamke

Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama.dyspareunia. Maumivu haya yanaweza kutokea wakati wa kufanya mapenzi au baada ya kufanya...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live