CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleKatika hizi picha 7 za vituko kutoka facebook, ipi imetisha?
1Mtandao wa kijamii wa facebook, ni mtandao ambao unaweza kuupa nafasi ya dakika 10 na ukajionea vitu tofautitofauti zikiwemo habari, matukio mbalimbali na vituko au vichekesho pia.Hizi ni sehemu ya...
View ArticleKuteleza si Kuanguka, Chidi Benz Asaidiwe Anatia huruma sana
Hivi ndivyo Chidi Benz anavyoonekana kwa sasa. Katika mitandao ya kijamii Jumamosi iliyopita kulisambaa picha za rapa Chidi Benz ambazo zinamuonyesha jinsi alivyokonda na kupoteza ule mwili wake wa...
View ArticleKichanga Mwingine Adaiwa Kufariki Dunia Kwa Uzembe Mkoani Mwanza
Matukio ya wajawazito kupoteza watoto kwa madai ya uzembe wa wahudumu wa afya yameendelea kuugubika Mkoa wa Mwanza baada ya mkazi wa Nyarawambo wilayani Sengerema Tatu Muhangwa, kujifungua na mtoto...
View ArticleMtoto Afariki Kwa Kukosa Matibabu..Wazazi Waliamini Maombi Pekee
Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Laela A, Ruti Sikapitaamefariki dunia baada ya wazazi wake kukataa kumpeleka hospitali kwamadai kuwa imani ya dhehebu lao haliruhusu waumini wake kutibiwa...
View ArticleRais Magufuli Ampongeza Dr. Shein kwa Kushinda Urais Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za pongezi Rais Mteule wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, kufuatia ushindi alioupata katika marudio ya Uchaguzi Mkuu...
View ArticleBad News: Msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI Wapata Ajali Mbaya...
WATU watano wamefariki dunia huku nane wamejeruhiwa, katika ajali iliyoyahusisha magari manne, mawili yakiwa katika msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI maeneo ya Kerege, Bagamoyo...
View ArticleDr. Ali Mohammed Shein Atangazwa Rasmi kuwa Mshindi wa Kiti Cha Urais...
Mgombea wa urais kupitia chama cha CCM Visiwani Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameshinda kiti cha urais kwa jumla ya kura 299,982 awa na asilimia 91.4 ya kura zote halali 328,327 katika uchaguzi wa...
View ArticlePICHA KALI ZA MREMBO HUDDAH MONROE ANAYEKIMBIZA KENYA
Super Star Huddah downtown Nairobi live!!
View ArticleRais Magufuli Atekeleza Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa mtu kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam la kuhakiki silaha, ambapo bunduki zake mbili aina ya Shortgun na...
View ArticleMAAJABU MSICHANA ATOKWA DAMU MACHONI
Huyu ni Marnie-Rae Harvey ambaye hutokwa na damu machoni lakini madaktari hawaelewi chanzo chake ni nini.Msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 anasema kuwa hawezi kutoka nje na hana marafiki kwa sababu...
View ArticleLucy Mayenga Ajisalimisha....Amuomba Rais Magufuli Ampumzishe Ukuu wa Wilaya
Wakati Taifa likisubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya huku wanaoshikilia nafasi hizo wakiwa katika chekeche kwa kuzingatia vigezo vitano, Mkuu wa Wilaya Iramba, mkoani Singida, Lucy Mayenga amemuomba Rais...
View ArticleMahakama Yatupilia Mbali Maombi ya Kuzuia Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar Es...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru uchaguzi wa meya na naibu meya wa Jiji la Dar es Salaam, kufanyika leo kama ilivyopangwa. Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema alitoa uamuzi huo jana akijibu...
View ArticleMwandishi wa Habari Salma Said Asimulia Alivyotekwa
Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na DW, Salma Said amedai alitekwa na wanaume wawili baada ya kumkamata na kumuingiza kwenye gari lao kisha kuondoka naye na...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Njombe Sarah Dumba afariki dunia
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba amefariki dunia jana jioni ya baada ya kuugua ghaflaMkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi amethibitisha kutokea kwa msiba huo, na kueleza kuwa marehemu Sarah...
View ArticleDiamond Platnumz Ateketeza Sh.Mil 100 UGHAIBUNI na Familia yake
Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani...
View ArticleZari ni Mjamzito tena??? Tazama alichokiandika Mama ake Diamond
Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina TIFFAKupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz amepost picha ya pamoja akiwa na Diamond Platnumz...
View ArticleDR CHENI AMUUNGA MKONO PAUL MAKONDA KATIKA KAMPENI YA KUWEKA JIJI LA DAR SAFI
Katika kuonekana kukubali kampeni ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mheshimiwa Paul Makonda, ya kuliweka jiji safi la mkoa wa Dar es salaam ambapo kampeni hiyo imepewa jina la#DSMPaulMakonda BONYEZA...
View Article