HATIMAYE GAIDI ALIYEUWA WANANCHI 137 PARIS LAKAMATWA NA POLISI
(CNN)After a four-month search for Europe's most-wanted fugitive, Paris terror attacks suspect Salah Abdeslam was captured Friday, Belgian officials said. Abdeslam was wounded in a gunbattle with...
View ArticleRC PAUL MAKONDA AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAOFISA WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasu suala la usafi wa mazingira. Katibu Tawala...
View ArticlePaul Amuomba Peter Msamaha, Ambembeleza Wairudishe P-Square
Paul ameamua kujishusha na kumuomba msamaha kaka yake Peter Okoye.Pacha huyo wa kundi la P-Square lililovunjika ameandika maelezo marefu kwenye Instagram kuelezea hali halisi ilivyo:Mnachotaka ni...
View ArticleIdris Aeleza Matumizi ya Milioni 500 za Big Brother Baada ya Kuambiwa...
Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan aeleza jinsi alivyozitumia milioni 500 za Big Brother baada ya watu kwenye mitandao ya kijamii kudai amefilisika.Akizungumza katika kipindi cha Friday...
View ArticleIdris Afunguka, Aeleza Kinachoendelea Kuhusu Mahusiano yake na Wema Sepetu..
Mshindi wa BBA, Idris Sultan amesema penzi lake mwigizaji Wema Sepetu lipo palepale na mwanadada huyo hana mtu mwingine wa Kikongo kama ilivyodhaniwa hivi karibuni.Idriss amefunguka yote hayo katika...
View ArticleJeshi la Polisi Nchini Lapewa Siku 2 Kumtafuta na Kumpata Mwandishi wa Habari...
Baraza la habari nchini Tanzania MCT kwa kushirikiana na taasisi nyingine nne zimetoa siku mbili kuanzia leo kwa jeshi la polisi nchini kuhakikisha linafanya uchunguzi na kufanikiwa kumpata mwandishi...
View ArticleOmmy Dimpoz Awekwa Njia Panda na Ugomvi wa Diamond na Ali Kiba..Hajui Aende...
Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz ni moja kati ya wasanii wanaoathiriwa na kuwepo kwa ile bifu kati ya Team Diamond na Team Kiba kwa kuwa wote ni washikaji zake.Ommy amesema kuwa mashabiki wanamweka...
View ArticleJuma Nature Ataka Show ya Kushindana na Diamond Platnumz Uwanja wa Taifa....
Juma Nature asema yeye ndiye mwenye ubavu wa kupambana na Diamond Platnumz na wala si Ali Kiba,Kupitia Fnl Juma Nature aliniambia kuwa anaomba mpambano huo ufanyike kwenye Uwanja wa Taifa wa zamani...
View ArticleUchaguzi Zanzibar : Mgombea Urais wa CCM Dr. Shein Apiga Kura Asubuhi Hii
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba...
View ArticleTIZAMA MAGOLI YA MAJI MAJI NA MBEYA CITY YALIVOPATIKANA , AMBAPO MAJI MAJI...
Timua ya MAJIMAJI – WANALIZOMBE imeendeleza ushindi kwa kuichapa MBEYA CITY ya jijini MBEYA magoli matatu kwa moja. MAJIMAJI ndio waliokuwa wa kwanza kuliona lango la MBEYA CITY dakika ya 14 kipindi...
View ArticleChristopher Ole Sendeka Ateuliwa Kuwa Msemaji Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Chama cha Mapinduzi CCM leo kimemtangaza Christopher Ole Sendeka kuwa msemaji mpya wa CCM kuanzia leo.Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi...
View ArticleMbunge Vicky Kamata Afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,...
Mbunge wa Viti Maalamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vicky Kamata amefunga ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk Servacius Likwelile.Dk Likwelile amefunga ndoa hiyo baada ya mkewe wa awali...
View ArticleMakamu wa Rais Bi Samia Suluhu Apiga Kura Visiwani Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Samia Hassan Suluhu amepiga kura viwasini Zanzibar katika uchaguzi wa marudio unaofanyika leo. Bi Samia amrwapongeza wananncji wa Visiwa vya...
View ArticleDr. Shein: Nategemea Ushindi wa Kishindo.
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar Dkt Ali Mohammed alizungumza na wanahabari baada ya kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Kibera kisiwani Unguja ambapo alisema anaamini...
View ArticleUchaguzi wa Marudio Zanzibar Unaendelea Kwa AMANI na UTULIVU.......Wananchi...
Wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura katika uchanguzi wa marudio baada ya kufutwa kwa uchanguzi uliofanyika October 25,2025 kutokana na kasoro zilizojitokeza.Katika baadhi ya vituo wananchi...
View ArticleWASANII WASIPOJIFUNZA KWA CHIDI NDIO BASI TENA
Malisa GodlistenWASANII WASIPOJIFUNZA KWA CHIDI NDIO BASI TENA.!By Malisa GJ.!Sikutaka kuandika chochote leo kwny ukurasa huu baada ya kudedicate kwa mwanadada mtanzania aliyebuni sofware yake...
View ArticleMgombea Urais wa ADC Hamad Rashid Akiongea Na Waandishi wa habari Baada ya...
Mgombea Urais kupitia Chama cha ADC Mheshimiwa Hamad Rashid akizungumza na Waandishi mara baada ya kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari Wawi Kisiwani Pemba
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View Article