
Timua ya MAJIMAJI – WANALIZOMBE imeendeleza ushindi kwa kuichapa MBEYA CITY ya jijini MBEYA magoli matatu kwa moja. MAJIMAJI ndio waliokuwa wa kwanza kuliona lango la MBEYA CITY dakika ya 14 kipindi cha kwanza DANNY MRUANDA akapacha goli wavuni. MBEYA CITY nao katika dakika ya 33 ya mchezo ikapata goli la kusawazisha kupitia
mchezaji wake ABDALA JUMA.Mpaka mapumziko MAJIMAJI moja na MBEYA CITY moja.