PICHA MASTAA WA BONGO WALIVYOMUANDALIA PARTY MKUU WA MKOA MH PAUL MAKONDA
March 13 2016 Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March 15 mastaa wa bongo...
View ArticleIdris Afunguka: Tumeamua Kuufanya Uhusiano Wetu na Wema ‘Private’ Kwa Sasa
Hutoona tena Idris Sultan na Wema Sepetu wakionesha upendo hadharani kama zamani kwakuwa wameamua kuuweka ‘private’ kwa sasa.Mshindi huyo wa BBA 2014, ameiambia Bongo5 kuwa angependa zaidi kwa sasa...
View ArticleUnene Wamkosesha Raha Wema Sepetu, Aacha Kupost Picha zake Instagram Kwa...
Wema Sepetu ameacha kupiga picha na kuzitupia Instagram kutokana na kunenepa sana, na zoezi hilo litakwenda hadi hadi mwezi June.Kupitia Instagram , Wema ameandika.About Yesterday… Tulivyoalikwa na...
View ArticleMakonda aanza kazi kwa kishindo, awapa wakuu wa idara saa 24
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishukua kutoka kwenye gari lake la Ukuu wa Mkoa wakati alipokuwa akifika kwa mara ya kwanza ofisini kwake Dar es Salaam leo mchana. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRais Magufuli Awakuna Waingereza
Balozi wa Uingereza nchini, Diana Melrose amewahakikishia wafanyabiashara wa Uingereza kwamba Tanzania ina mazingira mazuri ya uwekezaji na Serikali ipo tayari kushirikiana nao.Melrose aliyasema hayo...
View ArticleA.Y Afunguka Sababu ya Kumfanya Meneja wa Diamond Awe Meneja Wake...
Mkongwe AY amefunguka sababu kubwa ya yeye kumfanya Salaam,meneja wa diamond kuwa meneja wake pia ni kutokana na kuzidiwa na majukumu.A.Y amefunguka kuwa hajawai kuwa na meneja kwenye maisha yake ya...
View ArticleRC Makonda Atema Cheche.......Atoa Masaa 24 Kwa Wakuu wa Idara Kumpa Ripoti...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewagiza wakuu wa idara wa Halmashauri za jiji la Dar es Salaam kutoa ripoti za matatizo ya wananchi na jinsi walivyojipanga ndani ya masaa 24.Makonda...
View ArticleBreaking News: Balozi Juma Mwapachu Leo Atangaza kurudi CCM...Asema Alifanya...
HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM-MIKOCHENI 16/03/2016Ndugu zangu,Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye...
View ArticleMtoto wa Will Smith Jaden Smith Aendelea Kusimangwa Kwa Kuvaa Nguo za Kike.....
BAADA ya kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na aina ya mavazi yake, msanii wa muziki na filamu, Jaden Smith, amesema ataendelea kuvaa nguo yoyote atakayoona inampendeza.Msanii huyo...
View ArticleJina la Msanii wa P Square Analotumia Kama Solo Artist ‘Mr P’ Limepondwa na...
Jina la msanii wa P Square analotumia kama solo artist ‘Mr P’ limepondwa na kukataliwa na mashabiki wa muziki Nigeria na wengi wametoa majina kadha anayoweza kutumia kama solo artist.Majina haya niMr...
View ArticleRais Magufuli na Mkewe Wavutiwa na kipindi cha Clouds 360 mpaka Wameamua...
Rais John Magufuli na Mkewe, Mama Janeth leo amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kupiga simu ya surprise moja kwa moja kwenye kituo cha runinga kama mtazamaji wa kawaida akichangia yaliyokuwa yanajadiliwa...
View ArticleJukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) Latoa Tamko Zito Kuhusiana Na Hali Ilivyo...
Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) limetoa tamko kuhusiana na hali ilivyo sasa Zanzibar likisema linafadhaishwa na kusikitishwa nayo na kwamba linaamini isingefikia hapo endapo Serikali ya Jamhuri ya...
View ArticleTaarifa ya Wizara kuhusu filamu iliyompatia tuzo Elizabeth Michael "Lulu"
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKumekuwa na minongono mingi kutoka kwa baadhi ya wananchi kuhusu Filamu ya Mapenzi ya Mungu ya msanii Elizabeth Michael (Lulu) iliyoshinda tuzo ya Filamu bora Afrika...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleMashauzi Yanapoteza Wasanii Wengi-Diamond Platnumz
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Diamond Platnumz amedai kuwa mafanikio yake kimuziki na kuzidi kuendelea kufanya vizuri ni kutokana na ukweli kwamba yeye...
View ArticleSerikali Kutoa Mil.50 kwa Kata Zote Maskini Nchini
Mkurugenzi Dawati la Wazee Tume ya Utumishi na Utawala Bora nchini Tanzania Bw. Joshua Tarimo amesema Serikali imeahidi kutoa shilingi milion 50 kwa Kata zote nchini lengo likiwa ni kupunguza umaskini...
View ArticleUkiendelea Na Tabia Hizi Mafanikio Kwako Yatakuwa Ni Ndoto....
Hasira za mafanikio zinatofautiana baina ya mtu mmoja na mwingine. Kama kweli unahitaji mafanikio ya kweli ni lazima uwe na hasira ya njaa kama aliyonayo simba. Miongoni mwetu ni watu wachache sana...
View Article