Rais Magufuli awapa Siku 15 Wakuuu Wa Mikoa Kuondoa Majina ya Wafanyakazi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema jumla ya wafanyakazi 202 katika halmashauri 14 katika mikoa ya Singida na Dodoma waligundulika kuwa hewa na kulipwa mishahara...
View ArticleRais Magufuli Awaapisha Wakuu Wapya Wa Mikoa Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi,Zelote Steven Zelote kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha...
View ArticleVurugu Zanzibar: Bomu Larushwa na Kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi...
Hamdani Omar Makame, Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar Habari kutoka visiwani Zanzibar zinaeleza kwamba, nyumba kadhaa ikiwemo ya Hamdani Omar Makame ambaye ni BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleAmuua Mwanafunzi Mwenzake kwa Kumkata na Wembe
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mtwara Ufundi mkoani Mtwara, Tawfiq Hamisi (17), amefariki dunia baada ya kukatwa na kiwembe katika mkono wake wa kulia na mwanafunzi mwenzake...
View ArticlePolisi Wafumua Kituo cha Wauza na Watumia Unga Jijini Dar es Salaam..Vijana...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, jijini Dar limekifumua kituo cha watumiaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ na kuwakamata vijana zaidi ya 90 waliokutwa eneo hilo lililopo Mwembeyanga,...
View ArticleKuna Uwezekano Babu Seya, Papii Kutoka Jela Ndani ya Saa 72 zijazo....
Hatimaye rufaa ya wanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, imesikilizwa katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCPHR) jijini Arusha Machi 11,...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Arusha Atapeliwa Million 10 Kupitia Mtandao Kwenye Simu...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Fadhili Nkulu ameibiwa kiasi cha shilingi milioni 10 na wezi wa mtandao ambao waliteka mawasiliano yake ya simu za mkononi kwa muda wa saa 3 na kutumia namba hizo kuomba fedha...
View ArticleWIZ KHALIFA AFUNGUKA JUU BIASHARA YAKE YA BANGI
Wanasema ukitaka kufanikiwa kwenye biashara, fanya ile ambayo inahusisha hobby yako. Kwamba kama unapenda fashion, fanya biashara ya mavazi au urembo, na vipi kama unapenda bangi kama Wiz Khalifa? Mule...
View ArticleWaziri Mkuu Ampa RAS Kagera Siku 5 Ampeleke Taarifa Za Matumizi Ya Milioni...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera na kumpa siku tano Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bw. Adam Swai amletee taarifa juu matumizi ya sh. Milioni 80 ambazo ni...
View ArticleIkulu Yakanusha Taarifa Ya Marais Wastaafu Kupunguziwa Ulinzi
Gazeti la JAMBOLEO, toleo namba 2381 la tarehe 15 Machi, 2016 limechapisha taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho "Magufuli awapunguzia ulinzi marais wastaafu".Taarifa yake kamili ipo katika ukurasa...
View ArticleKamishna Wa Jeshi La Polisi Zanzibar Azungumza Na Wandishi Wa Habari Juu Ya...
Na Mwashungi Tahir na miza Kona – Maelezo Zanzibar Nyumba ya Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame imeripuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu na watu wasiojulikana majira...
View ArticleMzee wa Miaka 75 Amepigwa na Mpangaji Wake Hadi Kufa Kisa Bili ya Umeme.....
Mzee wa miaka 75 mkazi wa Ondo State nchini Nigeria, ameripotiwa kupigwa hadi kufa na mpangaji wake kisa bili ya Umeme.Mtandao wa Naija Gists umeripoti kuwa, Baba mwenye nyumba huyo ambaye ni mstaafu...
View ArticleMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), David Mattaka...
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashtaka sita yakiwamo ya matumizi mabaya ya madaraka,...
View ArticleLowassa Afunguka Mazito Kuhusu Wanachama Wanaofukuzwa CCM Wakituhumiwa...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amewapa neno wanachama wa CCM wanaotaka kufukuzwa ndani ya chama hicho wakituhumiwa kumuunga...
View ArticleMtoto wa Siku 5 Aibiwa Hospitalini Usiku Wakati Mama Yake Akiwa Amelala
Hali ya sintofahamu imeibuka katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru baada ya mtoto mchanga wa siku tano kuibiwa wodini katika mazingira ya kutatanisha.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleGigy Money: Nipo Tayari Kucheza Picha za Ngono Kama Nitapewa Mamilioni ya...
Video Queen na msanii wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka wazi kuwa yupo tayari kucheza picha za ngono endapo atapata mshiko wa maana.Akistorisha na gazeti hili wikiendi iliyopita, Gigy...
View ArticleZiujue Dalili za Mwanamke Anayekupenda Kwa Dhati Toka Moyoni, ila Hawezi...
Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View Article