Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu Michael Azushiwa Kifo....Asema "Kufa, Nitakufa SIKATAI Lakini Mpaka...

Kwenye ukurasa wake wa instagram Lulu ameandika maneno hayo huku akionyeshwa kuchukizwa na kitendo hicho cha kuzushiwa kifo, na kujisifia kuwa ana jina maarufu."Nasikia Nimekufa, wewe uliye Post hii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nuh Mziwanda – Shilole Kanifanya Nishindwe Kununua Hata Feni Amwomba Radhi...

Msanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake wa zamani Shilole alikuwa hataki yeye amiliki kitu chochote kwa kuhofia kwamba anaweza kumkimbia iwapo atafanikiwa.Msanii huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA Yaifungia Video mpya ya Wimbo ‘Zigo remix’ ya AY Aliyomshirikisha...

Ambwene Yessaya ‘AY’ amethibitisha kupokea taarifa ya kufungiwa kwa video ya wimbo ‘ Zigo remix’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz.Akizungumza na 225 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, Jumatatu hii,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne Ya Februari 23,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mugabe Atimiza miaka 92.....Wasaidizi wake Wasema Atawania Tena Urais...

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametimiza umri wa miaka 92 huku chama chake kikisema atawania tena urais 2018. Mnadhimu wake mkuu alisema kiongozi huyo ambaye ameongoza nchi tangu mwaka 1980, bado ana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uingereza Yammwagia Sifa Rais Magufuli Kwa Kasi Yake Ya Kukusanya Mapato na...

Nchi ya Uingereza imempongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wa serikali yake hususani katika kupambana na ubadhirifu wa mali za umma na ufisadi, kwa siku chache alizokaa madarakani.Sifa hizo za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kweli Siasa si Uadui..Hawa Juzi Nusura Wazipige Laivu Laivu...Leo Mchana Hali...

Mbunge wa Iringa mjini akiwa na mkuu wa wilaya Kasesela wakimsubiri waziri mkuu Airport.. Unakumbuka juzi karibu wazichape laivu bila gloves?? Siasa ni..........

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray Kusaka Ubalozi Kwenye Makampuni ya Maji..Baada ya Ishu yake ya Kunywa...

Baada ya kauli ya msanii wa bongo muvi Ray kigosi kuwa gumzo kila kona msanii huyo amesema amepata wazo la kufanya biasahra kupitia kiki hiyo.Ray amesema amepata mawazo kutoka kwa watu wengi na yeye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapenzi Ndio Basi Tena...Wema Sepetu Afuta Picha zote za Aliyekuwa Mpenzi...

Looks like there is trouble in paradise.. Katika hatua ambayo wengi hawakuitarajia kama ingetokea mapema hivi, Wema Sepetu na Idris Sultan wanaonekana kuuvunja uhusiano wao.Tetesi za kuwa uhusiano wao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Mrembo Huyu Ana Hips Kubwa na Umbo la Kuvutia Kuliko Wote Kenya?

Ana umbo namba nane anawachanganya… Ama kama alivyosema Diamond kwenye Zigo Remix – Usiombe akapita na khanga, nyuma figusu majanga, ana mwendo wa kung’onya, tena alivyoshona, umbo kama katuni wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray C Aeleza Jinsi Magazeti ya Udaku yanavyo Mliza Mama yake

Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema mama yake amekuwa akipatwa na presha mara kwa mara kutokana na habari anazo ziona kwenye magazeti ya udaku kuwa mwanae amerudia matumizi ya madawa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Collabo ya Shilole na Nicki Minaj yanukia

Siku chache baada ya kuachana na Nuh Mziwanda, mwanadada Shilole ‘Shishi Baby’, kupitia account yake ya Instagram ametoa tangazo la kuomba msaada. Tangazo hili linasema“Anatafutwa mwalimu wa kingereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:BASI LA NATA RAHA LAPATA AJALI MBAYA NA KUUA WATU 5 HADI SASA...

AJALI MARA: Vifo vyafikia 5 baada ya basi la Nata Raha kugonga nyumba huko Bunda leo, Mganga Mkuu Nicholas Machochota athibitisha. 4 wakimbizwa Bugando, MwanzaChanzo:The Choice

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano Ya Februari 24, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kurasa za Mbele na Nyuma Za Magazeti ya Uingereza ya Leo February 24, 2016

==

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NECTA Yasitisha Kugawa vyeti kwa Wahitimu wa Kidato cha Sita 2015...

Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), limeagiza kusitishwa kwa ugawaji wa vyeti vya kidato cha sita kwa wanafunzi waliohitimu mwaka 2015, huku vile vilivyokwisha gawanywa kwa watahiniwa hao vikitakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray C Alia na Ugumu wa Maisha.....Aeleza mtindo anaotumia kupanda daladala...

Ray C ameweka wazi kuwa yuko taabani kiuchumi, hali inayompelekea kukosa hata pesa ya usafiri wa kwenda hospitali kupata dozi ya tiba ya maradhi yanayomkabili kutokana na kuathirika na matumizi ya dawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Museveni Stoned By Rebellious Ugandan Kids (Video)

President Museveni won the Thursday 18th poll by a landslide but funny Ugandans are not celebrating. Even kids don’t want the incumbent head of state!!Yoweri Museveni emerged as the victor of the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba Amchoma Mwanawe vidole kisa Mboga Ya Sh. 500

MKAZI wa kitongoji cha Kazima – Kichangani Kata ya Kawajense, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Emmanuel Joseph (31) amemfanyia unyama mtoto wake wa kumzaa, George Emmanuel (4) kwa kuvichoma kwa moto...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live