Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Diamond Platnumz Amsindikiza Zari Hassan Nairobi..Hizi Hap Picha...

Mama Diamond Platnumz Amsindikiza Zari Hassan Nairobi..Hizi Hap Picha Akifurahia MaishaAkiwa Salon

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Februari 8, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu Mkuu Ashushwa Cheo na Kukamatwa na Takukuru Kwa Rushwa ya KUKU

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Amani Mwenegoha amemvua wadhifa wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinamila, Mashaka Lusotola na kumrudisha kuwa mwalimu wa kawaida.Hatua hiyo ilikuja baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wenye Mavogue na Mujumba ya Kifahari wote Sasa Waangaliwe Tax Paying Records

Kumekuwa na tabia nyingi za watu kujinasibu kwenye mitandao ya kijamii kama ni.matajiri mipicha ya nyumba za fahari, maisha ya fahari, magari ya kifahari sasa tunaomba TRA ifanye kama America IRS....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri Yona na Mramba Waanza Kutumikia Kifungo cha nje...Wakabithiwa Vyombo...

Yona, Mramba wakabidhiwa vifaa vya usafi hospitali ya Palestina. Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameripoti katika hospitali ya Sinza Palestina na kukabidhiwa vifaa kwa ajili ya kufanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wingu Zito Laendelea Kutawala Ufisadi Wa Mabilioni NIDA....Yadaiwa...

Wingu  zito limetanda ndani ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu matumizi ya  Sh bilioni 179.6 ambako kila kitambulisho  cha taifa kimegharimu Sh 89,800 zikiwamo gharama za utawalaBONYEZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEN ONLY: Here Are 13 Signs That you’re Chasing a Wild Goose When Seducing a...

If she exhibits one or more of the below, she is NOT playing hard to get, so cut your losses and move on.1. She’s not returning your calls. She may not call you but not returning your calls is plain...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubuyu Mpya....Jokate Amwangukia Mama Ali Kiba

Malovee tena! Siku chache baada mwanamitindo Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, kumwagana, hatimaye habari za chini ya kapeti zimevuja zikidai kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jack Wolper Aambulia Matusi Mtandaoni Baada ya Kupost Picha ya Mazishi ya...

Jack Wolper amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupost mtandaoni picha ya maiti ya Marehemu Kaloosh ikiwa katika jeneza...Baada ya tukio hilo watu mbali mbali walianza kumkosoa na wengine kumrushia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuziki Peter wa P-Square Atuhumiwa Kumsaliti Mke wake na Mchepuko wa...

POP staa, Peter Okoye ametuhumiwa kumsaliti mkewe, Lora Omotayo baada ya kuripotiwa kuwa ametoka na modo anayefahamika zaidi kupitia Instagram, Aimee ambaye makazi yake yapo Marekani.Awali,mrembo huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu Gwajima Azushiwa Kifo

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, jana alizushiwa kuwa amefariki dunia.Taarifa hizo zilizozagaa katika mitandao ya kijamii zilieleza kuwa Askofu Gwajima alifariki dunia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“Nampenda yeye” ndio ilinitoa kimaisha-Temba

Gwiji wa Muziki wa Bonge Fleva Mhe. Temba amefunguka kuwa llbum yake ya kwanza ya nampenda yeye ndio iliyomfungulia Maisha na mafanikio katika muziki wake.Mhe. Temba ambae anaunda kundi la TMK Familly...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WADR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WADR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...

                CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM  I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION              PROPOSAL FOR DONORS  .................................................350,000/=...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Februari 9, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Apata Ajali Mbaya ya Gari

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa akiwemo mke wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda baada ya gari walilokuwa wakisafiria kumgonga mwendesha pikipiki wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu Mkuu Avuliwa Wadhifa Wake Baada Ya Kuchelewa Kikao Cha Mkuu wa Wilaya

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Butinzya, amevuliwa wadhifa huo kwa madai ya kuchelewa kuhudhuria kikao kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Amani Mwenegoha. Utekelezaji wa kumvua madaraka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Kwa Umma Kutoka Ofisi ya Makamo wa Rais Kuhusu Uzushi Unaonea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vicent Kigosi ‘Ray’ Awacharukia Wanaosema Tasnia ya Filamu Imekufa Baada ya...

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ amewataka mashabiki wa filamu kuwapuuza watu wanaodai tasnia ya filamu imekufa baada Steven Kanumba kufariki.Ray KigosiAkizungumza na Bongo5 Ijumaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mnyonge Mnyongeni Rais Magufuli Ndio Rais Tuliyokuwa Tunamtaka...

Mungu ni mwema hatuna budi kumshukuru kwa anayotufanyia katika nchi yetu.Baada ya kusema hayo niseme bila kumung’unya maneno kwamba Rais Dk. John Pombe Magufuli ndiye rais tuliyekuwa tunamtaka kutokana...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live