Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Mawaziri Yona na Mramba Waanza Kutumikia Kifungo cha nje...Wakabithiwa Vyombo vya Usafi

$
0
0



Yona, Mramba wakabidhiwa vifaa vya usafi hospitali ya Palestina. 
Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameripoti katika hospitali ya Sinza Palestina na kukabidhiwa vifaa kwa ajili ya kufanya usafi.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliridhia waliokuwa Mawaziri wastaafu Basil Mramba na Daniel Yona kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles