Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Januari 25, 2016
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Januari 25, Ikiwemo Vita ya Madaraka ya Bunge yakolea
View ArticleWaziri wa Ardhi , William Lukuvi Aagiza Kukamatwa kwa Watendaji wote...
Serikali imeliagiza jeshi la polisi na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kuwakamata, kuwahoji na kuwafikisha mahakamani viongozi na watendaji wote hata kama wamestaafu madaraka yao, walio husika...
View ArticleHussein Bashe Amvaa Benard Membe Kwa Kumkosoa Rais Magufuli.......Amtuhumu...
MBUNGE wa Nzega Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Mohammed Bashe amejitokeza hadharani na kumtaka Waziri wa Zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe...
View ArticleSakata la ESCROW: Magufuli mkamate Seth wa IPTL
JUMUIA ya Wanazuoni Watetezi wa Rasilimali nchini (JUWARA), imewataka wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania linalotarajia kuanza rasmi vikao vyake vya kujadili hotuba ya Rais aliyoitoa...
View ArticleMadee Achomoa Kuchoma Gari Lake Baada ya Kichapo
Baada ya Arsenal jana kupigwa kichapo cha bao moja mtungi na Chelsea, msanii wa bongo fleva Madee amechomoa kuchoma gari lake kama alivyoahidi na kusema yeye hana utajiri huo wa kuchoma gari na hata...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticlePhoto: Diamond Platnumz Flaunts His New WCB Office.
Diamond Platnumz today gave us a glimpse of his new office which will run most of WCB business issues. His mother also gave him a visit today. Check out pic below....
View ArticleJokate And Ali Kiba Still Into Each Other... !
Three days ago it was reported Jokate and Ali Kiba have split, it is said Ali Kiba has been cheating on Jokate with his ex-girlfriend living in abroad read it here . But soon after the news of their...
View ArticleUsiku mzuri wa Send Off ya Vicky Ulifana sana
Mc Dr Cheni on the staje akisherehesha kwa umakini sanabonyeza hapa kusoma zaidi
View ArticleSerekali Yatangaza Kusitisha Matangazo ya Bunge Laivu Kuanzia Jana..Sababu...
Serikali yatangaza leo Bungeni kuwa kuanzia tarehe 26 Januari 2016 TBC imesitisha kuonyesha baadhi ya matangazo ya moja kwa moja ya shughuli za Bunge, kutokana na bajeti finyu.Baada ya tamko hilo...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake
Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA BUNGE LEO MJINI DODOMA.
Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni mjini Dodoma Januari 27, 2016. Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Elimu ,...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
SERVICES WE OFFERED BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)............................ 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG).................... 45,000/=...
View ArticleAzikwa Kaburini na Kreti za Bia na Soda Kahama
Wakati serikali ikipigia kelele kukemea imani za kishirikina, wilayani Kahama bado ni kitendawili baada ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Mwamande, Kata ya Mwanase katika Halmashauri ya Msalala kufariki na...
View ArticleBlog ya Kenya Yasambaza Uongo Kuhusu Rais Maguguli Kwenda Kenya Kwa Mara ya...
Kumekuwepo na habari za uongo na potofu katika mtandao wa jamii wa www.kenya-today.com kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atazuru Kenya kuhudhuria kumbukumbu...
View ArticleKutorushwa Kwa Bunge Live kupo Pale Pale- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu MajaliwaMajaliwa ameyasema hayo alipokuwa akijibu swali la papo kwa papo la Mbunge wa Hai ambaye pia ni msemaji wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe aliyetaka kujua kwanini serikali...
View ArticleSakata la Bunge Kutokuonyeshwa Laivu Lawapatanisha Zitto Kabwe na...
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (kulia) akipeana mkono na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kabla ya kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari wakipinga kitendo cha kutolewa kwa...
View ArticleBreaking News: Kimenuka Tena Bungeni..Upinzani Watoka nje Baada ya Kunyimwa...
Hali ya sintofahamu imeendelea ndani ya bunge baada ya wabunge wote wa Upinzani kutoka ndani ya bunge mara baada ya Wabunge kuanza kuchangia hotuba ya Rais.Baada ya kipindi cha Maswali na Majibu,...
View Article