Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.Credit to JF

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli Atikisa Mji Mdogo wa Katoro

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita mapema leo mchana kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASATA Yatoa Siku 7 Kwa Wamiliki wa Blogs, sound cloud, U-Tube , ITunes,...

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Emmanuel Mbasha Aachiwa Huru...Upande wa Mashtaka Umeshindwa Kuthibitisha...

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Emmanual Mbasha (32), leo ameangua kilio baada ya kuachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Ilala huku mke wake, Flora amesema yuko tayari warudiane endapo ataomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA Aiangamiza Ngome Ya CCM, Jimbo La Mtama Kwa Nape Nnauye Jiioni Hii...

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TANZANIA ALHAMISI SEPTEMBA 24, 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masanja: Uchungaji Si Mzaha, Afunguka Haya

MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platnumz Azua Kizaazaa Kampeni za Magufuli Bukoba....

Diamond Platnumz Azua Kizaazaa Kampeni za Magufuli Bukoba....Kundi kubwa la vijana wakigombea kumuona mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’, katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba.Stori:...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri Nzito Yafichuka Kuhusu Mastaa Kuhama Kutoka Ukawa Kwenda CCM

Mwigizaji wa tasnia ya filamu nchini, Aunt Ezekiel, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Kajala Masanja Kay’ wakiwa CCM. Stori: Na Erick EvaristNYUMA ya wimbi kubwa la mastaa waliokuwa Chama cha Demokrasia na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Kuwa Msanii wa Kwanza Kuumizwa na Siasa Mwaka Huu, Soma Hapa

Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni.Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za MTV EMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya TWAWEZA kusema CCM inakubalika 66 %, haya ni maneno 15 ya Lowassa na...

Kuelekea uchaguzi mkuu October 25 2015 matokeo ya utafiti wa taasisi ya TWAWEZA yametolewa September 22 2015 Tanzania na kuonyesha Watanzania mbalimbali wanamkubali nani zaidi ambapo CCM imepata 66%,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr Bilal to represent govt at Eid el Hajj celebrations in Musoma

Vice President Dr Mohammed Gharib BilalVice President Dr Mohammed Gharib Bilal will today lead Muslims in celebrating this year’s Eid el Hajj celebrations which at national level will be held at Mkendo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 717 WAFARIKI KUTOKANA NA MSONGAMANO MKUBWA MJI WA MECCA WAKATI WA...

 Watu zaidi ya 717 waliokuwa wakishiriki sherehe za hija wamefariki kwenye mkanyagano uliotokea karibu na mji mtakatifu wa Kiislamu wa Mecca, maafisa nchini Saudi Arabia wamesema.Idara ya ulinzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS CELINA KOMBANI AMEFARIKI DUNIA

 WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI UTUMISHI WA UMMA,NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ULANGA MASHARIKI(CCM), CELINA KOMBANI(56) AMEFARIKI DUNIA HIVI PUNDE NCHINI INDIA ALIPOKUWA AMELAZWA KWA SIKU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Those Asking, Here’s The Perfect Wife Material (PHOTO)

Those asking, here’s the perfect wife material (PHOTO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Here Is Why Every Lady Is Talking About DIAMOND and Saying aaaaaaawwww!!

 Diamond is every lady’s lips after he wrote a lovely message to his wife and baby mama, Zari Hassan, on her birthday.Here is the message

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utafiti Mpya Waonesha Lowassa Kushinda Kwa Asilimia 74 Dhidi ya Magufuli

Siku mbili baada ya tahasisi ya TWAWEZA kutoa matokeo ya utafiti ukionesha kama ucaguzi ungefanyika kati ya august 19/2015 na septemba 7,2015 mgombea urais kupitia CCM angeshinda kwa aslimia 65 dhidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgeja Ashangaa Push-Up Za Magufuli....Asema Anafaa Kushiriki Michezo Ya...

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja  ambaye  alijiondoa  na  kuhamia  Vyama pinzani, amesema anashangaa kuona mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli, akipiga push up, hivyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA Aeleza Kama Atakubali au Atakataa Matokeo Akitangazwa AMESHINDWA

ZIKIWA  zimebakia  siku 30  kabla  watanzania  hawajapiga  kura  ya  kumchagua  Rais,mgombea  urais  kwa  tiketi  ya  CHADEMA, Edward  Lowassa  ambaye  amekuwa  akieleza  imani  yake  kuwa  atashinda...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live