Harusi ya Anthony na Halima Ilimetameta Sana chini ya usimamizi wa Mc Dr cheni
Mc Dr cheni akiwajibika kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa katika harusi ya Anthony na HalimaMaharusi Anthony na Halima walipendeza sanaBONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleSEND OFF YA JACKLINE ILIFANA SANA CHINI YA MC DR CHENI
Mc Dr Cheni katika picha ya pamoja na Maharusi watarajiwaMc Dr Cheni kaziniBONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleSENDOFF YA LUCY ILIKUA YA KIPEKEE CHINI YA MC DR CHENI
Bi harusi mtarajiwa Lucy Mc Dr Cheni akisimamia shughuli nzima Mc Dr Cheni katika picha ya pamoja bwana na bibi harusi watarajiwa Mc Dr Cheni on the staje akiwajibikaBONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleLowassa Atoa Ujumbe Mzito Kwa CCM baada Ya Kupewa Tuzo ya Amani na Taasisi...
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na kuungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa amesema anashangaa kuona anaambiwa mleta vurugu wakati dunia inamkubali kuwa ni mlinzi wa amani.Kauli ya Lowassa...
View ArticleHUYU HAPA NDIYE MISS WORLD 2015
Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni Mireia Lalaguna Royo wa Hispania ambaye umri wake ni miaka 23,...
View ArticleDiamond Platnumz Akiwa na Watoto Wote wa Zari
Kupitia kwenye mitandao ya kijamii mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari the boss Lady’ ambaye ni mzazi mwenza wa mkali wa bongo fleva, Diamond Platinum alitupia picha hizi akiwa yeye, Tiffah na Diamond...
View ArticleWAKOJOA KATIKA KUTA ZA WATU KIBOKO YENU HII HAPA
Aina mpya ya rangi ambayo imeundwa kwa mtindo maalum ili kurejesha mkojo kwa anayejaribu kuukojolea ukuta uliopakwa rangi hiyo, imeanza kujaribiwa na manispaa moja jijini London.Rangi hiyo ya majimaji...
View ArticleNdege ya Ufaransa yatua Kenya Ghafla Baada ya Air Hostess Kugundua Bomu Chooni
Passengers aboard Air France flight No 463 headed from Mauritius to France were Sunday morning forced to cut short their trip after an air hostess discovered device suspected to be an explosive in one...
View ArticleJe Kumtimua Mourinho ni Maamuzi Sahihi Kwa Mustakabali wa Chelsea?
Mashabiki wengi wa Chelsea wamefuraishwa sana na matokeo ya mechi ya Jana kati ya Chelsea na Sunderland baaada ya kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mojaLakini tujiulize kuhusu mustakabali wa...
View ArticleWastara: Najuta Starehe Zimeniponza
STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni...
View ArticleWaziri Mkuu Acharuka.....Asema Wabadhirifu Watang'olewa Mara Moja,Asisitiza...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya watendaji wa halmashauri nchini kwamba atakayebainika ametumia vibaya fedha za Serikali atang’olewa kazini kwa sababu Serikali ya Awamu ya Tano haina mchezo na...
View ArticleDiamond, Zari, Tiffah, His Three Step-sons in Uganda + Diamond's Message To...
Diamond Platnumz and Zari flew to Uganda for different purples, Diamond was there for Born 2 Win concert with Nigerian Patoranking while Zari was there to grace her Zari All White Party. Although...
View ArticleChelsea FC Releases Statement On Jose Mourinho's Sack
''Chelsea Football Club and Jose Mourinho have today parted company by mutual consent. All at Chelsea thank Jose for his immense contribution since he returned as manager in the summer of 2013. His...
View ArticlePhotos From Zari All White Party 2015 In Kampala, Ivan Semwanga Attends,...
Zari All White Party 2015 in Uganda happened yesterday, her current boo Diamond Platnumz didn't attend despite being in Uganda too since he has a show there with Nigerian Patoranking, Interestingly...
View ArticleWhy Tanzania will suffer from US Fed rate hike
BoT's Director of Economic Research and Policy, Dr Joe Masawe The International Monetary Fund (IMF) has said Tanzania will not be directly affected by last week’s US Federal Reserve hike in interest...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY...
PROPOSAL FOR DONORS .................................................350,000/= KUANDAA KATIBA ZA NGO NA KIKUNDI..............................300,000/=...
View ArticleAda Elekezi Shule Binafsi Tayari
TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa...
View ArticleMaagizo ya Mawaziri tangu kuapishwa Desemba 12
Ni mwendo wa maagizo. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kila waziri anayefanya ziara katika idara au taasisi zilizoko chini yake kutoa maagizo kudhihirisha uwepo wao.Mawaziri hao ambao waliapishwa...
View Article