Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais John Magufuli Atoa Mkwara Mpya...Akataa Sherehe ya Kuwapongeza Mawaziri...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dr John Pombe Magufuli ametangaza Baraza la Mawaziri ambalo litafanya kazi katika serikali hii ya awamu ya tano kwa kipindi cha miaka 5.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Amwaga Mabilioni Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu..Shirikisho la...

Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi bilioni 341 zilizotolewa  mwaka jana ikiwa ni ongezeko la Tsh....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI 12 DECEMBA 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli bug bites Nairobi residents.

President John Pombe Magufuli.In what appears to be their persistent admiration of President John Pombe Magufuli, some proprietors of public service vehicles (PSVs) in Kenya’a capital, Nairobi, have...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...

TUNAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA MAMBO HAYA                                  PROPOSAL FOR DONORS  .................................................250,000/=KUANDAA KATIBA ZA NGO NA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Ikulu Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF wapinga Uteuzi wa Prof. Muhongo

JUMUIYA ya Vijana wa Chama cha Wananchi (CUF) imesema wanasikitishwa na uteuzi wa baraza la mawaziri lililotajwa juzi na Rais John Magufuli na kudai  kuwa, katika baraza hilo wamerudishwa wale mawaziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUGABE AWACHANA HIVI WANAOTAKA KUMRITHI URAIS,SOMA HAPA LIVEE

  Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa kukoma mara moja kugombania kuhusu nani atamarithi.Rais huyo mwenye umri wa miaka 91, amesema hayo katika kongamano la kila mwaka la chama tawala-...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Gambia atangaza nchi kuwa ya Kiislam

 Rais wa Gambia Yahya Jammeh ametangaza taifa hilo lenye Waislamu wengi kuwa jamhuri ya Kiislamu, hatua ambayo anasema inakatiza kabisa uhusiano na historia ya zamani ya kikoloni.Bw Jammeh ameambia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam, Simba hakuna mbabe Taifa leo, picha matokeo vyote viko hapa

Ibrahim Ajib akiwa na wachezaji wenzake wakishangilia bao la pili wakati wa mchezo wao dhidi ya Azam FCDar es Salaam derby kati ya Azam FC ambao walikuwa wenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya ‘mnyama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa: Nilishinda Urais Lakini CCM Wakaupora Ushindi Wangu na Dunia Nzima...

Aliyekua mgombea Urais anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ameendelea kudai ndiye mshindi kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita na dunia inajua.BONYEZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kupukutishwa

Baada ya kutaja Baraza la Mawaziri lenye sura mpya nyingi juzi ikiwa moja ya hatua katika ukamilishaji wa safu za uongozi wa serikali ya awamu ya tano, Rais John Magufuli anataraji kuondoa Wakuu wengi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Amemjibu Lowassa Baada ya Kudai Kazi...

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, aliyedai kuwa kazi nzuri anazofanya Rais John Magufuli, ni utekelezaji wa sera za vyama vinavyounda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Jumanne ya Disemba15

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea wa CCM apinga Matokeo ya Godbless Lema......Alitupia Lawama Jeshi la...

Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Philemon Mollel amepinga matokeo ya uchaguzi huo yaliyompa ushindi wa kishindo, Godbless Lema wa Chadema.Akiongea na waandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Saed Kubenea Apandishwa Mahakama Ya Kisutu na Kusomewa Shitaka La Kutoa Lugha...

Mbunge wa jimbo Ubungo kupitia Chadema, Saed Kubenea amepandishwa kizimbani kortini Kisutu, jijini Dar es Salaam leo na kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanne Wakataa Uwaziri wa Magufuli Wakihofia Kushindwa Kuendana na Kasi Yake

WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Mwaka Amkimbia Naibu Waziri Wa Afya Hamis Kigwangala.........Atakiwa...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala leo majira ya jioni amefanya ziara ya kushtukiza  katika kituo kinachotoa tiba mbadala cha Foreplan Clinic...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marekani Yamuweka Rais Magufuli Njiapanda......MCC inakutana Kesho Huku Suala...

Marekani imeiweka njiapanda Serikali ya Rais Dk. John Magufuli, baada ya Bodi ya shirika lake la Changamoto za Milenia (MCC) kuamua kukutana kesho kujadili masuala kadhaa ya utoaji wa misaada kwa nchi...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live