Dar assured of quality, modern transportation
Permanent Secretary, Prime Minister's Office, Regional Administration and Local Government, Jumanne Sagini The Bus Rapid Transit (BRT) interim service providers have assured the government and...
View ArticleWATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUSAINI KIAPO CHA AHADI NA UADILIFU
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza rasmi kutekeleza Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma nchini .Akiongea na vyombo vya habari leo, Katibu Mkuu Hab Mkwizu amesema utekelezaji huo...
View ArticleKasi ya Magufuli Yaikumba Clouds FM...Mwaka Huu Tamasha la Fiesta Halitafanyika
Mkurugenzi wa Clouds Media Group ambao ni waandaaji wa tamasha la Fiesta, Ruge Mutahaba amesema kuwa tamasha hilo halitakuwepo mwaka huu. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleAliyemua Sankara Afikishwa Mahakamani
Kiongozi wa mapinduzi yaliyodumu kwa muda mfupi nchini Burkina Faso Jenerali Gilbert Diendere ameshtakiwa kwa kuhusika katika mauaji ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara alieuawa mwaka...
View ArticleAfter Lots of Rumors Finally Quick Racka Confirms Dating Kajala
There have been lots of speculations and rumors about Kajala dating Bongo Flava singer Quick Racka. Media did write about their secret relationship although they both denied it. Even Quick Racka had...
View ArticleWanne Watiwa Mbaroni Kwa Kupiga Picha Vifaa vya JWTZ na Kuvisambaza Mitandaoni
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema limeanza kuchukua hatua kali kwa watu waliohusika na upigaji wa picha wa vifaa vya kijeshi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii, ambapo hadi...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Katavi Awafuta Kazi Maofisa 11 na Mkurugenzi Wao Kwa Ufisadi...
MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa...
View ArticleMKONGWE KOFFI OLOMIDE ALIVYO WASILI DAR
..December 8 2015 usiku Escape One Mikocheni Dar es salaam utakua usiku wa zile selfi 16 kusherehekea miaka 16 ya Clouds ambapo pia Koffi Olomide kutoka Congo DRC atakuepo kuiachia burudani kwenye...
View ArticleLulu And Wema Sepetu Have Potential For Hollywood Career : Ernest Napoleon
Going Bongo star Ernest Napolean says that Lulu Elizabeth Michael and Wema Sepetu can do better in Hollywood if they get the chance and Good management. Speaking with Bongo5 Napoleane said that many...
View ArticleBOSI MWINGINE WA TRA ASIMAMISHWA KAZI
MCHAKAMCHAKA wa kusafisha uozo katika ofisi za umma sasa umekuwa katika mtazamo tofauti,ambapo sasa mabosi katika ofisi hizo ndiyo wamekuwa wakiwadhibu wafanyakazi walioko chini yao ili kuepuka...
View ArticleMkuu wa mkoa Mwanza Awasimamisha kazi Watumishi Watatu
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amewasimamisha kazi watumshi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, kutokana na kuruhusu ujenzi wa nyumba juu la bomba la mradi wa maji na kuamuru ivunjwe...
View ArticleMeneja Mkuu Kiwanda cha Urafiki asimamishwa kazi.
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imeingilia kati mgogoro wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kwa kuwasimamisha kazi Meneja Mkuu wa kiwanda hicho, Nassoro Baraza na Naibu Meneja Mkuu,...
View ArticleKamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja Ahamishiwa Zimamoto
AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk. John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi kwa kumhamisha Kamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul...
View ArticleAda Elekezi shule Binafsi: Wamiliki wa Shule Waiijia Juu Serikali
Taharuki imetanda kwa wamiliki wa shule nchini baada ya kupokea waraka unaowakataza kuongeza ada kwa shule zisizo za serikali katika mwaka wa masomo unaoanza mwezi ujao.Kwa mujibu wa tangazo hilo...
View ArticleJIONEE MBUZI ANAPOFIA KWA MUUZA SUPU
Trafiki kagonga halafu katoka kwenye gari fasta na kuanza kupima ajali. Hii inaitwa Mbuzi kafia kwa muuza Supu.. #Kashangae_Feri (In Samson Charles' voice).!
View ArticleMnyika Aibukia Sakata la Bandari, Asema Dawa ya Jipu Sio Kulitumbua
Baada ya kuwa kimya tangu ashinde Ubunge, Mbunge wa Kibamba kwa tiketi ya Chadema, John Mnyika ameibukia kwenye sakata la ubadhirifu kwenye Mamlaka ya Bandari nchini na kuitaka serikali kuweka wazi...
View Article