Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba ya Uchaguzi wa Spika wa Bunge Pamoja na Uteuzi wa Waziri Mkuu

Spika  wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuchaguliwa mjini Dodoma Jumanne ijayo, ratiba ya Bunge hilo imeeleza. Kutokana na ratiba hiyo, ni wazi Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Afuta Kitengo cha Upishi na Kupokea Wageni Ikulu..Adai...

RAIS John Magufuli amezifumua na kuziunda upya baadhi ya ofisi za Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam pamoja na kuwaondoa baadhi ya watumishi ambao hawana ulazima katika mfumo wa utumishi wa Ikulu.Taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashambulizi ya Magaidi Yatikisa Ufaransa, Watu 127 Wauawa......Rais Magufuli...

Rais John Magufuli amemtumia salamu za pole Rais wa Ufaransa François Hollande, kutokana na mashambulizi ya kigaidi yaliyogharimu vifo vya watu 127.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya mambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Raisi mstaafu,Jakaya Mrisho Kikwete Aingia Mtaani.....Afanya 'Shopping’...

Kwa mara ya kwanza tangu aondoke madarakani mwanzoni mwa mwezi huu, jana Rais Jakaya Kikwete alionekana akifanya manunuzi katika maduka yaliyopo jengo la Mlimani City, jijini Dar es Salaam.Kikwete,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgonjwa ‘Aliyetibiwa’ na Rais Magufuli Kufanyiwa Upasuaji Wiki ijayo

Mgonjwa aliyeahidiwa matibabu na Rais John Magufuli, Chacha Makenge amefanyiwa uchunguzi na majibu ya kipimo cha MRI na sasa anasubiri upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).Chacha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof. Jay Aanza Kuwapigia Debe Wasanii kwa Rais Magufuli

MBUNGE mteule wa Mikumi kupita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule aka Profesa Jay, amemtaka Rais John Magufuli kumteua msanii mmoja kuwa mbunge katika nafasi zake 10, ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TANZANIA JUMAPILI NOVEMBA 15,2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu Yake na Kuandika Mazito

 Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watuNipo kama unavyoiona picHuyo ndio wastara nilivyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meet The Refugee Boy Of Yesterday Who Is Now A President

The circled child in the photo above is the current President of Gabon, Ali Bongo. That picture was taken in an orphanage years ago before he was adopted by Omar Bongo, the late Gabonese...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI WA KIPEKEE ATAIFANYA SHEREHE YAKO IWE YA KIPEKEE

Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.Call now these...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Speed ya Wadada Kuwa Weupe Inakua Kwa Kasi Sana.....Kuna Siri Gani ?

WANAWAKE NA UREMBO ....Kwanini wanawake wengi hupenda kuwa weupe au kujichubua? Au niwaulize akina kaka mnavutiwa na Rangi gani kwa wanawake?? Maana speed ya watu kuwa weupe inakua kwa kasi sana. Watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prophet Says Mugabe Has Until December 31 To Live

A Malawian prophet, Austin Liabunya says Zimbabwean President Robert Mugabe has only until 31st December to live.Liabunya's prophecy, which hit the media earlier this year has been under debate as the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Kuzungumza na Watanzania Kuhusu Uchaguzi Zanzibar na Msimamo wake...

LowassaAliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameibuka na mambo mengi mazito kuhusiana na BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...

HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

                                     PROPOSAL FOR DONORS 10%  .............................................250,000/=KUANDAA KATIBA ZA NGO NA KIKUNDI..............................150,000/=BUSINESS PLAN...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkwasa Afunguka: Tulifanya Kosa Kubwa Sana Kufanya Mabadiliko Wakati Timu...

Baada ya timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Star’ kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 na Algeria kwenye uwanja wa taifa, kocha mkuu wa kikosi hicho Charles Boniface Mkwasa amesema, mabadiliko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA MAALUM KUHUSU AMANI TANZANIA

 Na Eleuteri Mangi-MAELEZONuru inapoiangazia dunia, huwaangazia viumbe vyote vilivyo hai na visivyo na uhai, viumbe vyenye uhai, hao hufurahia nuru hiyo kwa kuruka ruka na kucheza kufurahia nuru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ: WATATU WATEULIWA NA KAMATI KUU YA CCM KUPIGIWA KURA ZA USPIKA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC ,CCM Makao Makuu Dodoma akiwa ameshikilia kitabu cha Kanuni za Kamati ya Wabunge Wote wa Chama Cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIPATIE KITABU CHA " HATUA MUHIMU YA KUBADILI HISTORIA YA MAISHA YAKO " KIPO...

MWANDISHI:ANNABERHA CHIMBUVU Hiki ni kitabu cha ujasiriamali chenye kuonyesha watu maarufu na wa kawada waliofanikiwa pamoja na mbinu za kukuwezesha na wewe ufanikiwe kama wao kimoja5000 jumla 2500...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TANZANIA JUMATATU NOVEMBA 16, 2015

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live