MORO KIDS U17 WAIBUKA MABINGWA WA AIRTEL RISINGI STARS MOROGORO 2016
Wachezaji wa timu ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (U17) ya Moro Kids Academy wakifurahi huku wakiwa na kombe la ubingwa michuano ya Airtel Risng Stars baada ya kuifunga Anglikana Academy...
View ArticleMWANAUME ABEBA MAITI YA MKEWE KWA UMBALI WA KILOMETA 12 BAADA YA HOSPITALI...
Mwanamume mmoja maskini nchini India alibebe maiti ya mkewe kwa zaidi ya kilomita 12 baada ya hospitali alimofariki kushindwa kumsafirisha kwa gari la kuwabebea wagonjwa hadi kijiji mwake.Mke wa Dana...
View ArticleNDEGE KUBWA ZAIDI DUNIANI YAPATAA AJALI SIKU CHACHE BAADA YA MAJARIBIO YA...
Ndege ndefu zaidi duniani - Airlander 10 - imeharibika baada ya kuanguka ikitua kwenye safari yake ya pili ya kufanyiwa majaribio.Ndege hiyo ya urefu wa 302ft (92m) - ambayo kwa kiasi fulani ni ndege...
View ArticleSEPTEMBA MOSI !! NI KAMA UBABE VILE KATI YA CHADEMA NA JESHI LA POLISI...
Jeshi la polisi nchini limewataka wananchi kuwa watulivu na kuendelea na kazi zao bila hofu watakapoona vikosi vya jeshi vikifanya mazoezi mtaani kwa kuwa hayana lengo la kumdhuru mtu yeyote anayefuata...
View ArticlePROFESA IBRAHIM LIPUMBA HAPA NDIPO ALIPOLIKOLOGA NDANI YA CHAMA CHA WANANCHI...
Profesa Ibrahim Lipumba.KATIBA YA CHAMA YA 1992 (TOLEO LA 2014)UTARATIBU WA KUJIUZULU: 117. (1) Kiongozi yeyote wa chama anaweza kujiuzulu uongozi wake wakati wowote ule. (2) Kiongozi atajiuzulu kwa...
View ArticlePolisi Yapambana na majambazi Mkuranga.....Difenda zaidi ya 16 Zipo Eneo la...
Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani asubuhi hii. Magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yamefika eneo...
View ArticleUPDATE KUTOKA VIKINDU: Wamekamatwa jumla ya majambazi 14 na wengi wao ni...
Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao anadaiwa kuwa Kanali wa Jeshi mstaafu.
View ArticleUpdate: Majambazi Kadhaa Yauawa Katika Mapigano na Jeshi la Polisi huko...
Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo. Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku...
View ArticlePICHA CHAFU ZATIBUA PENZI LA AGNESS MASOGANGE
Picha chafu z i l i z o v u j a zikimuonesha Video Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ akiwa kihasarahasara na mwanaume anayesemekana ni msanii wa Bongo Fleva, Regnald Raymond ‘Reggy’ zimeibua...
View ArticleApewa talaka baada ya kulitaja jina la msanii Chameleone wakati akifanya mapenzi
Mwanamke nchini Uganda amepewa talaka baada ya kulia jina la Chameleone wakati akishiriki mapenzi na mumewe– Chameleone ameweka kisa hicho kwenye Instagram baada ya kuchapishwa na gazeti moja la...
View ArticleMakonda awafungukia walionukuu kauli yake vibaya
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amefafanua juu ya kauli yake aliyoitoa hivi karibuni ambayo imekuwa ikinukuliwa vibaya na vyombo vya habari ikiwemo gazeti la leo la Mwananchi.Kwenye...
View ArticleMwanamke amkuta mumewe akishiriki ngono na mbwa wake
Mwanamke mmoja amepigwa na butwaa baada ya kumpata mumewe akishiriki ngono na mbwa wao nyumbani Spring Valley, Nairobi–Inasemekana mwanamke huyo alikuwa amezuru mashambani kupeleka watoto ambapo...
View ArticleDudubaya Amfundisha Mwanaye Kuvaa Condom
Msanii Godfrey Tumaini au Dudubaya ameonesha mfano jinsi ya kuwa baba bora, kwa kuzungumza na mtoto wake kuhusu maambukizi ya magonjwa ya zinaa, na jinsi ya kujikinga na magonjwa hayo kwa kutumia...
View ArticlePolisi Mwingine Auawa Kwenye Mapambano Makali na Majambazi Huko Mkuranga
Ilikuwa ni kama filamu ya askari na maadui wakati askari wa Jeshi la Polisi walipopambana na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kwenye nyumba iliyo eneo la Vikindu wilayani Mkuranga.Taarifa ambazo...
View ArticleJWTZ Lawatoa Hofu Wananchi.......Lasema Septemba 1 Litasherehekea Miaka 52...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo linaanza shamrashamra za maandalizi kuelekea siku ya maadhimisho ya 52 ya majeshi inayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi mwaka huu kwa kufanya usafi na...
View ArticleKIMENUKA..Kauli ya Paul Makonda ya Kutaka Polisi Iwapige watu Wakiwakuta...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesikitishwa na matamshi ya Mhe. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yanayokiuka misingi ya utawala bora aliyoyatoa tarehe 25 Agosti, 2016...
View ArticleViongozi Mbalimbali wa Chadema Waendelea Kutiwa Mbaroni Kwa...
Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya maandamano yanayodaiwa yatafanywa na Chadema, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amekuwa kiongozi wa 26 wa chama hicho kukamatwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi...
View Article