Babutale aeleza yake kuhusiana na amri ya mahakama ya kukamatwa na kumlipa...
Meneja wa Tip Top Connection na wa Diamond Platnumz, Babutale anakabiliwa na mtihani mzito baada ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa hati ya kukamatwa kutokana na kudaiwa kutotii amri...
View ArticleMAJINA YA WANACHUO WARIORUDISHWA UDOM STASHAHADA MAALUM YA UALIMU.BONYEZA...
==> Kuona Majina ya Waliohamishiwa Vyuo vingine << BOFYA HAPA>>==> Kuona majina ya ambao hawajakidhi vigezo vya kurudishwa << BOFYA HAPA>> Majina ya wanachuo waliokuwa...
View ArticleBAVICHA WAAMUA KUHAMISHIA MKUTANO WAO DAR ES SALAAM BADALA YA DODOMA
Wakati kukiwa na ulinzi mkali mjini Dodoma kuelekea Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM, Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limehamishia mkutano wake wa kamati ya utendaji jijini Dar es Salaam. Jana,...
View ArticleMakahaba Waivamia Dodoma
Wasichana wanaofanya shughuli ya kuuza miili, maarufu kama dada poa( makahaba) wameongezeka katika viunga vya mji wa Dodoma tayari kuvizia wageni watakaohudhuria Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM. Wasichana...
View ArticleMtoto Aliyewekewa Betri Kwenye Moyo Afunguka, Atamani Kuwa Daktari Bingwa
MTOTO Happiness Josephati (5) aliyefanyiwa upasuaji wa kuwekewa betri maalum kwenye moyo ambayo kitaalam inaitwa ‘pacemaker’ katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) amesema anatamani aje kuwa...
View ArticleManeno ya Demba Ba Baada ya Kutembelewa na Aliyemvunja Mguu
Lilikuwa ni tukio la kusikitisha pale mshambuliaji nyota wa zamani wa Newcastle na Chelsea Demba Ba alipovunjia mguu akiwa uwanjani kutekeleza majukumu yake.Jina la Ba limekuwa kwenye vyombo vya habari...
View ArticleTazama video inayomuonyesha Demba Ba alivyovunjika mguu akiwa uwanjani...
Hapo ndipo inapofikia mwisho safari ya mpira ya Demba ba, mungu amjaalie hapone kama umeguswa type amen.Tazama video inayo muonyesha mchezaji huyo alivyo vunjika mguu akiwa uwanjani akicheza mpira [...
View ArticleWanaume Kwa Hili Mnatutesa Mnatuvurugia Wengi
Jamani wanaume wa kizazi hiki cha nyoka sjui mpoje, mkianza mahusiano na mtu mkapeana namba utasikia "bby una watsup" Imo n.k ili uanze kudai picha za uchi na kufanya video calls.Kiukweli wadada wengi...
View ArticlePICHA NA VIDEO CHAFU ZA BI HARUSI ZAVUNJA NDOA YAKE YA WIKI MOJA ZINAZODAIWA...
Kuna picha zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha mwanamke akifanya mapenzi na mpenzi wake. Yote hayo yalitokea siku chache tu baada ya mwanamke huyo kufunga ndoa na mwanaume mwingine...
View ArticleMIKOA YA DAR ES SALAAMNA DODOMA YAONGOZA KWA VITENDO VYA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia , watoto na wazee nchini zinaonyesha kuwa mkoa wa Dar es salaam na Dodoma inaongoza kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia mojaAkiongea na...
View ArticleMwanasoka Demba Ba Anena haya kuhusu kucheza soka baada ya kuvunjika Mguu
Mshambulaiji wa kimataifa wa Senegal na klabu ya Shanghai Shenhua Demba Ba, ameeleza mustakabali wa soka lake baada ya kuvunjika mguu akiwa katika mchezo wa ligi kuu ya soka nchini China mwishoni mwa...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEPIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleBOOK NOW MC DR CHENI CALL +255 754 222 201 OR +255 658 194 194
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194a Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LEWIS MBONDE IT & BUSINESS CONSULTANCY BLOG...
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA) BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG) ADSENSE (BLOGGER UJIPATIE KIPATO)...
View ArticleZari Akana Kuwa na Mtoto Mkubwa wa Kike Kama Taarifa za Mitandao zinavyodai
Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz, ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM KINANA AKAGUA UKUMBI WA MKUTANO MKUU DODOMA LEO
Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi, Nape Nnauye na Msemaji Mkuu wa CC, Christopher Ole Sendeka wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kukagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma...
View ArticleZulehah azizima tetesi za kuwa ni mtoto wa Zari kwa picha hizi 2
Kuanzia jana staa wa Instagram, Mange Kimambi alikuwa akimshambulia Zari the Bosslady kwa mfululizo wa post za kudai kuwa amepewa taarifa na watu wa karibu wa familia hiyo kuwa Zari ana mtoto mkubwa wa...
View ArticleLulu Michael Adai Hana Tatizo na Hamisa Mobeto, ni Baada ya Kudaiwa Kumpora...
Msanii wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha tetesi za kwamba ana bifu na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Dj Majay, Hamisa Mobeto.Lulu na MobetoMuigizaji huyo ambaye kwa saa anadaiwa kutoka...
View ArticleWanafunzi Wote Walio Vyuo Vikuu Wasio na Sifa Kuondolewa. Vyuo Kurudisha...
Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako amesema wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu wasio na sifa wataondolewa bila kujali wapo mwaka wa ngapi na hata waliopo kazini wataondolewa kwa kuwa hao ndio wanatumia...
View ArticleRais Magufuli: Polisi Kamateni Hata Gari la Rais
Wakati akizungumza na Maafisa wa Jeshi la polisi aliowapandisha vyeo vya Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli...
View Article