Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853
↧

Zari Akana Kuwa na Mtoto Mkubwa wa Kike Kama Taarifa za Mitandao zinavyodai

$
0
0

13473384_656927457789800_776486571_n
 

 
Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz, ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele za watu kuwa ni mdogo wake, Zari amekanusha taarifa hizo. ‘’Mimi mbona sina mtoto mwingine wa kike zaidi ya Tiffah tu, achana na ambao hawana akili wavuta bangi, wanatafuta kiki, hasira zao wananitolea mimi, anahangaika na maisha, nina watoto watatu wa kiume na mmoja wa kike na kila mtu anawafahamu hayo mambo mengine siyajui" Alisema Zari.
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Latest Images

Trending Articles